Pole sana dada,
Amua kuokoka, biblia inasema, ukiokoka unakuwa kiumbe kipya, ya kale yanapita. huyo mchumba usimwambie, muombe Mungu hekima kama ungependa ajue bila ya kuharibu uhusiano wenu. Mungu atakupa hekima, hasa kama umebadilika kwa dhati.
Yesu atakuweka huru na hilo doa maishani...