Recent content by bohha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono mgomo wa walimu

    Waalimu acheni unafiki wa kuamua mambo yanayohusu maisha haiwezekani mwalimu wa degree anamshahara sawa na nesi wa certificate wanaishi nchi moja, mkoa moja, wilaya moja , kata mmoja na kijiji kimoja wananunua vitu kwa bei inayofana .HUU NI WAKATI WA KUAMKA...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais wangu, hata kama sisi masikini huoni sifa ya misaada ni aibu? Ukoloni?

    Kwa mwezi nalipia kodi ya sh 50000 kutokana na mshahara wangu mdogo,Rais hasemi namna ya kuboresha mapato ya ndani ya nchi watumishi hasemi kodi yetu inttumika vipi? anajisifia kuomba misaada, Mikusanyo ya TRA wanayodai ni zaidi ya 50% yanaenda wapi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Almanusra Ajiuzulu Chadema, Sasa CCM tumechoka!!

    Vuvuzela hao wamekosa cha kuandika
  4. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Hiyo ni dua la kuku kamwe halimpati mwewe Mwacheni aendelee kulala the time will tell.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Vyombo vya Habari: Hoja ya Kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu

    Tunaomba tupate mtandaoni list ya waliosaini(majina) ili tuwajue wanafiki walioacha kusaini wakijua mawaziri hawatekelezi majukumu yao kama inavyo stahili ili tuwawajibishe 2015
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya nchi nzima

    Kama ni kweli rais anaona watanzania bado hatuelewi madudu ya mawaziri wake niko tayari kuingia barabarani ili aone ni tufani siyo upepo tena
  7. B

    JamiiForums Tanzania James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Naamini ni maamuzi yako na umeyafanya wakati na muda shihi karibu kwenye chama makini yenye malengo makini ya kuwatumikia watanzania.
  8. B

    JamiiForums Tanzania As far as opportunity cost is concerned, CHADEMA kateni rufaa

    Nawashukuru kwa mawazo mazuri na mimi sasa ni elelewa umuhimu wa kukata rufaa ,Tuendelee kuwaombea makamanda wetu
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria kukata rufaa itakuwa sawa na kutuacha wananchi mpaka 2015,
  10. B

    JamiiForums Tanzania Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    you can resist an invading amy, but you can not resist an idea whose time has come, LEMA UKIKUBALI KUKATA RUFAA ITAAMULIWA 2016.
  11. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Bila kuwasahau wasra,ben m,na wezao wengi.AIM STILL WAITING FOR OFFICIAL RESULT, hONGERENI AKAMANDA.
  12. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Very excited, tafadhali msiache kutupa apdate
  13. B

    JamiiForums Tanzania Arumeru risasi zarindima

    Tafadhali endelea kutupa matokeo tuko pamoja m4c lazima kieleweke.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dalaly Kafumu amekalia kuti kavu Igunga

    wasiwasi wangu mahakama itawalinda ila haki hupiganiwa makamanda msichoke tutawaombea.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ulikuwepo enzi za DUKA LA KAYA??

    OMBI KWA WANWARUMERU MASHARIKI: Ndugu zangu wana wa Arumeru mashariki kesho ni siku muhimu kwenu kuchagua maendeleo ama ubabaishaji, Chonde Chonde chagua kiongozi unyemdhani anayajua matatizo yenu na atayafanyia kazi si wale tuliowazoea na ahadi zao...
Back
Top Bottom