CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

Nasikia leo hii jaji aliyetoa hukumu ameitwa ikulu, kwasababu kwanini hakutekeleza kama alivyoambiwa? Kumpa adhabu mh Lema ya miaka mi5 ya kutojishughulisha na mambo ya siasa. Naona imekula kwa jaji, hata pata fungu alilohaidiwa.

.... Umeweza kusikia kuwa Jaji alitoa sababu gani za kufanya alichokifanya?

.... Umeweza kusikia kuwa Jaji atakatwa fungu kiasi gani kwa kuharibu makubaliano?
 
Kukata rufaa kutainufaisha ccm, hawa wanafanya mambo ya kihuni dawa yao ni kuwadharirisha tena kama ilivyokuwa Arumeru Mashariki.

Tusishangae wasiposimamisha mgombea na badala yake wakawaomba vimada wa KAFU wagombee ili wao wamuunge mkono hata kama akipoteza hawataaibika
 
Basi bora tupige kura ya yes na No kwa mgombea atakaye simamishwa na chadema
 
TETESI:
kuna rafiki yangu ni HAKIMU ARUSHA kaniambia kuwa jaji kituo chake cha kazi ni RUVUMA SONGEA na sio kweli kuwa anakimbia ARUSHA baada ya hukumu ya LEMA na kuwa anahofia maisha yake

Kuna shemeji wa rafiki wa jirani yangu tuliyepanga naye nyumba moja ambaye ni mlinzi wa mahakama kuu amesema jaji mmoja alipo kuwa anaenda chooni alimwambia jaji aliye hukumu kesi ya Lema atagombea ubunge kwa tiket ya CCM ili ku pruvu hukum yake!
 
Itakuwa ni ukata wa wagombea sio pesa!

Hata hivyo wanataka kuchezea watu akili, ccm hawezi kukacha uchaguzi.
 
kuna rafiki yangu ni HAKIMU ARUSHA kaniambia kuwa jaji kituo chake cha kazi ni RUVUMA SONGEA na sio kweli kuwa anakimbia ARUSHA baada ya hukumu ya LEMA na kuwa anahofia maisha yake
Jamani, uandishi kweli ni taaluma ya watu!
Sasa mkuu, utajibuje thread ambayo hata hujajisumbua japo ku'paste hayo madai unayokanusha?
Msomaji ambaye hajaona hiyo thread inayosema Mheshimiwa Jaji kakimbia, unawaweka katika nafasi gani?
Lete thread yenye mashiko broda!
 
Tusipoteze muda kujadili hii kesi...Uchaguzi kurudiwa ndiyo suala muhimu...basi...
 
Kuna Harufu ya uzindaki hapa sasa magamba wamechemka maana apo ni sawa na kumpiga lema pause wakati wakijua watakapo play lema ndio star waechi? Wangemfumgia 5 years Kama walivo panga na ina maana ccm waysides rufaa kwa sababu jaji hajamfungia au ndio watamkata jaji fungu lake la kumi?
 
Hata jaji nae ametumia akili kwani anajua ili mtu aweze kufungiwa kugombea miaka mitano lazima apatikane na kosa la rushwa. kesi iliyofunguliwa ni matusi, so jaji amewapa walichotaka. tukutane kwenye uchaguzi. nguvu ya umma itashinda tu.
 
nimesikia itv slaa akisema anawezakukatiwa rufaa kama akigombea je,kwa kipengele kipi ambacho ccm wanaweza kumkatia rufaa?tunaomba wataalamu wa sheria watujuze.
 
Inabidi leo nikubaliane na wewe nafikiri ni wewe juzi ulituletea tetesi za kesi ya Lema tukakuambia ni za baa.

Yes Boy was pretty correct' CHAKUSHANGAZA wana JF walimshambulia as if jamaa ni magamba i was disappointed like f***k...finaly hukumu imetoka! wana Jf umefika wakati wa kutafakari TOPIC kabla hatuja reply sometimes ur acting like really dump naive.Its KING ma nigga
 
Huyu Jaji naskia alichanjwa chale za matak.o.ni na Profesa Maji Marefu. Ukimuuliza karatasi za hukumu za kesi zina rangi gani? Anakutajia, kijaniiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom