Recent content by Boda2boda

  1. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia Bora ya kufuta namba ya X wangu ( ipo kichwani)

    Kata kichwa tu
  2. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    Picha tafadhari
  3. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    Mjini Mbeya (Forest ya zamani)
  4. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Kwa kashfa hizi za kuhusishwa na biashara ya mihadarati, Freeman Mbowe jiuzulu Uenyekiti CHADEMA

    Kichwa cha habari tu inaonesha uwelewa wako ulivyo,, mi napita tuu
  5. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kibamba CCM 35 Million (35 by 45)

    Umeona eeeeehhh????
  6. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

    Mfute kazi wewe au unamuogopa
  7. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hashimu Rungwe pamoja na wabunge wamemtembelea Godbless Lema Mahabusu Kisongo

    Katika hili swala mi naona akina Tundu Lissu na mwakili wengine kama akina kibatala na wenzao wanasababisha hizi mambo maana sasa wameiacha kesi ya msingi ikisimama ambayo kwa mtizamo wangu wangeweza kushinda mapema kweupe, wao wanahangaikia rufaa kuhusu dhamana,,,sijui kama tuna nia kweli...
  8. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi latikisa Zambia na Tanzania

    Hata nkasi mkoani rukwa limedumu takribani dakika moja na nusu aisee
  9. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nimepata kitu juu ya mahakama na kesi ya Mbowe

    Ni vyema umeona maana zote hizi ni alama za nyakati
  10. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Kuna jamaa huku pembezoni alikuwa jeuri jeuri akajikuta anaamka yupo stand ya bajaji na mkewe
  11. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Kwa msaada zaid Soma hapa

    Nami pia 0757151071
  12. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Hivi mi sijaelewa humo BBA wanaongia wana sifa gani mbona ni kama wanaoingia ni wale wasiojitambua??
  13. Boda2boda

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Kazi nzuri kiongozi,ni kweli tukiwa vyuoni huko kuna kila aina matumaini na madanganyo tunayodanganyana ila ukija kwenye uhalisia unakuta kila kitu kinaenda tofauti na ndio inafikia hatua ya wahitimu wengi kukata tamaa na maisha na kujiingiza kwenye maovu.
Back
Top Bottom