Uliza Paul Richard Tabora anatangaza redio gani?.ndio Mkuu wetu wa mkoa wiki ijayo tunamfata na matarumbeta huyu kilaza Daud hatumtakiIpi kati ya VOT/voice of Tabora na CG fm?
Uliza Paul Richard Tabora anatangaza redio gani?.ndio Mkuu wetu wa mkoa wiki ijayo tunamfata na matarumbeta huyu kilaza Daud hatumtakiIpi kati ya VOT/voice of Tabora na CG fm?
Hilo ndilo halikuwahi kunipa shida . ki jiografia ni ndogo lakini ni mkubwa kuliko yoteMbona Dar ndiyo mkoa mdogo kuliko zote Tz. Au haukusoma jiogorafia nini mkuu?
Jaman,hamumumjui mkuu wa mkoa wa taifahembu true Daudi ajitokeze
Labda ya udaku lakini haya mengine hayajagusia hii habari.Mkuu nipo kisiwani si rahisi kupata magazeti mapema. Ina maana magazeti yoote ya hapo Dar hayajaandika habari hiyo? Kwa hiyo hata Tanzania Daima hawajaandika hiyo habari? Nao tusiwategemee kwenye kuleta mabadiliko?
teh teh tehUliza Paul Richard Tabora anatangaza redio gani?.ndio Mkuu wetu wa mkoa wiki ijayo tunamfata na matarumbeta huyu kilaza Daud hatumtaki
Ukapimwe MarindaHAKUNA MWANDISHI WA HABARI WA KUANDIKA UMBEA.......siku zote mlikuwa wapi????baada ya kutajiwa BABA yenu mnnanza kumtengenezea SKENDO MAKONDA......
Badala ya kulialia WAANDISHI waandike kuhusu KIJANA MWENZIO SAANANE.....wewe unalilia UANDIKWE UMBEA........
Kuna jamaa huku pembezoni alikuwa jeuri jeuri akajikuta anaamka yupo stand ya bajaji na mkeweAcha zako kuna mikoa ya kujifunzia uongozi, wacha ajifunzie ukoko dar akija uku pembezone ataamka yupo juu ya bati au mti
Usikate tamaakitu bora kabisa watanzania wasomi wanachoweza kufanya
hatred
Then...Makonda ni R.C, vyeo ambavyo kamwe hamji kuvipata nyie na familia zenu
Kwa hiyo katumwa na Mr. Alcohol?Wengi wenu akili sijui mnaziacha wapi? Hivi kwa akili zenu aliyofanya Makonda ni initiative yake yeye Mwenyewe? Yaani mnaona kivuli lakini jua au unakotoka mwanga hamuoni? Ajabu.
Inatakiwa afunguwe kesi ya madai!Kwakifupi mkuu wa Mkoa wa Dar halali ni mtangazaji wa radio fulani huko Tabora.