Ndomyana kuwa mwanaspoti usiendekeze sana ushabiki wakati simba kafungwa goli la kwanza haikuwa maigizo lakin simba kushinda ni maigizo. Kwan hata zile 5 bila ilikuwa maigizo? Au maigizo ni kwa azam tu. Tutafanya tena maigizo october 3.
wewe utakuwa umetumwa cdm hakunaga udini pale, kama unataka udini nenda cuf. Kama ulishuhudia mkutano wao wa jana na kuona vibarakashia kibao, halafu mbaya zaidi mkutano walifunguwa kwa sara baada ya pastor kuanza kusali wakawa wanamzomea.
Kuanzia huyo mnaemuita jemedari mkuu, i.g.p na vifaranga vyao vyote adhabu yao ni moja tu wote wanyongwe, kama walitaka kujaribu silaha zao si wangeenda huko malawi wanakogombea ziwa.
Ccm fanyen yenu nyie kwa sasa mnanuka achen propaganda zenu mnataka kutumia msiba kama mtaji, kwan huyo godwin ni nan au mwanafamilia? Dk. Slaa katoa uban milion 2 yeye godwin katoa ngapi? Achen hizo tunasema watzee hatudanganyiki.
Kwa vyama vyote vilipo hapa tzee hakuna wa kumlinganisha na DR. WILBROD PETER SLAA, huyu jamaa ni nibonge la genius. So zitto asubiri kwanza ni snitch wa chama.
Pretty usikereke sana kwan si unajuwa mazoea hujenga tabia? Unaweza muona binti mrembo sana ukamtokea lakin badae baada ya kuwa nae anaanza kujisahau na kuanza kujiachia, kama alikuwa anapaka roshen nzuri. Parfyum nzuri na make up uson ndo zilizo kufanya ukavutiwa nae, yeye anaanza kuacha...
Yanga wanaweweseka sana na rage, kwan sasa wamekuwa ndo waongeaji sana kuhusu rage ooh aondoke simba kwa vile anahiujumu simba. Mbona sisi wenyewe hatuon alipotuhujumu? Simba sio kama nyie yanga kuwafukuza viongozi kila wakati, na sasa mtamfukuza manji baada ya kichapo cha mbwa mwizi toka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.