Sasa ndo nagundua kwanini Sofapaka waliitaka Yanga....

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Pasipo kuweka hdharani mashaka yake kuwa kiwango cha Simba sasa hivi hakiwezi kuwapa changamoto ya mazoezi ya nguvu, Kocha wa team ya Sofapaka aliliambia gazeti 1 la michezo linalotoka katikati ya wiki kuwa kila mtu katika team yao amesikitika baada ya kusikia kuwa watacheza na Simba badala ya Mabingwa wa kusakata kabumbu ukanda mzima wa Africa Mashariki na kati na kule kwa waalikwa Dar Young Africans,almaaruf kama Yanga.
Ninakubaliana naye asilimia (%) 120,unapomfunga mpinzani wako goli 3 bila a.k.a 3 - Mtungi, a.k.a 3 - Yai, a.k.a 3 sifuri, a.k.a 3 sufuri,a.k.a 3 nini sijui etc,etc ni dhahiri hakuna kipya ulichojifunza.
Poleni Sofapaka kilicho wagharimu ni kitendo cha Yanga kuwaa team inayokwenda na Program za UlayaX2 tofauti na hao Wazee wa 3 -Bila
Niki'recall tu, 3 - O dhidi ya Azam, 3 - 0 dhidi ya City Stars ya Nairobi, 3 - 0 dhidi ya Sofapaka ya Kenya, 3 - 0 dhidi ya nani sijui team ya maana itakayokuja.
3 - 0, 3 - 0, 3 - 0,........my GOD!
 
Te! Teh! Teh!... Uwiiiiii mbavu zangu mie dah! Anselm acha hizo bwana some tyme uwe unatumia na tafsida sa mambo gan bwana unawapa jamaa za 'uso' kihivyo aka kavukavu? Kwan ulikua hujui jamaa walikuwa wanatafuta gate collection money ya kuwalipa azam pesa yao iliobaki kwa cjui redondo but in the name of Akuffo but c mbaya wapenzi na mashabiki wa msimbazi waliokuwa na hamu ya kumuona striker wao wameridhika
 
Pasipo kuweka hdharani mashaka yake kuwa kiwango cha Simba sasa hivi hakiwezi kuwapa changamoto ya mazoezi ya nguvu, Kocha wa team ya Sofapaka aliliambia gazeti 1 la michezo linalotoka katikati ya wiki kuwa kila mtu katika team yao amesikitika baada ya kusikia kuwa watacheza na Simba badala ya Mabingwa wa kusakata kabumbu ukanda mzima wa Africa Mashariki na kati na kule kwa waalikwa Dar Young Africans,almaaruf kama Yanga.
Ninakubaliana naye asilimia (%) 120,unapomfunga mpinzani wako goli 3 bila a.k.a 3 - Mtungi, a.k.a 3 - Yai, a.k.a 3 sifuri, a.k.a 3 sufuri,a.k.a 3 nini sijui etc,etc ni dhahiri hakuna kipya ulichojifunza.
Poleni Sofapaka kilicho wagharimu ni kitendo cha Yanga kuwaa team inayokwenda na Program za UlayaX2 tofauti na hao Wazee wa 3 -Bila
Niki'recall tu, 3 - O dhidi ya Azam, 3 - 0 dhidi ya City Stars ya Nairobi, 3 - 0 dhidi ya Sofapaka ya Kenya, 3 - 0 dhidi ya nani sijui team ya maana itakayokuja.
3 - 0, 3 - 0, 3 - 0,........my GOD!

Acha kudanganya wana jamii wewe Anselm, Azam ilimfunga lini Mnyama 3 bila? Ilikuwa 3:1, pia Nairobi City Stars ilikuwa 3:1, kwahyo ONDOA hyo comment yako then uandike tena maana umeandika UONGO
 
mkuu acha kuweweseka swala mlikuwa mnanyukwa tatu tatu tena na vitimu dhaifu kweli cjui maharage alikuwa anawadanganyilishia toto kuwaletea vitimu vibonde kwenye ligi ya kenya ili mkivifunga mapovu yawatoke kwa wingi na vichwa viwajae badala yake mambo yanageuka matokeo yake mnaaibishwa nyumbani soooooo! Sad
 
Simba sio siri mwaka huu andaeni package ya kutosha kwajili wa marefa lasivo itakua aibu,. Yanga ilicheza ovyo gem na coastal union sio kwa kiwango kile cha simba leo kama nangalia sofapaka na sifa unted vile,. Kama simba itachukua tena kombe mwaka huu basi timu ya taifa itajaza wachezaji vituko leo tupo187 mwakani tutakua tunaringanishwa ubora na sudani kusini
 
Anselm nenden kaunda mkale tambuu na manjigili achaneni simba, mbona kila wakati mapovu yanakutoka mdomoni?
 
Acha kudanganya wana jamii wewe Anselm, Azam ilimfunga lini Mnyama 3 bila? Ilikuwa 3:1, pia Nairobi City Stars ilikuwa 3:1, kwahyo ONDOA hyo comment yako then uandike tena maana umeandika UONGO

Haya nimerekebisha Mkuu ilikuwa Boko 3 - Simba 1,MUNGU ampe nini Boko magoli yale yalimfanya apate nafasi ya kwenda kufanya majaribio South,Jamaa walivyoona Boko kaifunga Simba Hatrick wakajua atakuwa ni Van Persie wa Bongo,kumbe team yenyewe imebaki jina tu mwaka huu.
 
Yawezekana unatumia hewa chafu kufikiri 3 nikawaida katika mchezo wa mpira mbona nyie mlitobolewa 5-0 na msimbazi au math ni tatizo the nenda kwa mwalimu wako akufundishe which is greater5 and3 ebooo!
 
Pasipo kuweka hdharani mashaka yake kuwa kiwango cha Simba sasa hivi hakiwezi kuwapa changamoto ya mazoezi ya nguvu, Kocha wa team ya Sofapaka aliliambia gazeti 1 la michezo linalotoka katikati ya wiki kuwa kila mtu katika team yao amesikitika baada ya kusikia kuwa watacheza na Simba badala ya Mabingwa wa kusakata kabumbu ukanda mzima wa Africa Mashariki na kati na kule kwa waalikwa Dar Young Africans,almaaruf kama Yanga.
Ninakubaliana naye asilimia (%) 120,unapomfunga mpinzani wako goli 3 bila a.k.a 3 - Mtungi, a.k.a 3 - Yai, a.k.a 3 sifuri, a.k.a 3 sufuri,a.k.a 3 nini sijui etc,etc ni dhahiri hakuna kipya ulichojifunza.
Poleni Sofapaka kilicho wagharimu ni kitendo cha Yanga kuwaa team inayokwenda na Program za UlayaX2 tofauti na hao Wazee wa 3 -Bila
Niki'recall tu, 3 - O dhidi ya Azam, 3 - 0 dhidi ya City Stars ya Nairobi, 3 - 0 dhidi ya Sofapaka ya Kenya, 3 - 0 dhidi ya nani sijui team ya maana itakayokuja.
3 - 0, 3 - 0, 3 - 0,........my GOD!

AKA 3-Sinia
 
Mbona hau recall hii?

simba-vs-yanga.jpg
 
simba mavi matupu...
Yaani kwa timu ile niliyoiona juzi walitomaswa 3-0 na Sofapaka ni wazi kuwa hakuna jipya pale...
 
hawa jamaa tokea walivyopakatwa na azam inaonekana wamenogewa na haka kamchezo hawataki kuacha.!
 
Back
Top Bottom