Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Kwa vyama vyote vilipo hapa tzee hakuna wa kumlinganisha na DR. WILBROD PETER SLAA, huyu jamaa ni nibonge la genius. So zitto asubiri kwanza ni snitch wa chama.
 
Dr.Slaaaaaaaaaaaa!!!!! ni zaidi ya zitto.Nchi haitaki longolongo inataka utendaji.Ila ninamsihi asimsahau Zitto kwenye utawala wake ili afikiliwe kuchuku nafasi kama hiyo kwa baadaye.
 
Kura hii ya maoni ingefaa zaidi, kama iwapo ccm itatoka madarakani je ili kujenga displine na kurudisha miiko ya uongozi, je itakuwa sahihi kuwafikisha mahakamani viongozi wote waliolisababishia taifa hili kufika hapo lilipo? (ufisadi, na mauaji, mikataba mibovu nk) na kama hawatakuwa na makosa warudi kuishi uraiani na kama wana makosa waende gerezani na kufilisiwa mali zao. Suala la nani kuwa rais siyo issue ili mradi awe na uwezo siyo kuchekacheka tu.
 
Dr Slaa ndo kila kitu kwa sababu hata magamba wanajua hakuna kama Dr Slaa,Zitto awe na subira.
 
Dr.slaa ndo anafaa, kwanza hana kashfa yeyote ya ubadhilifu wa mali ya umma. Pili ni anamapenz ya dhat na nchi yake. Kingne umri wake unafaa kushka hatam as agast kabwe ctl young
 
wanaocema ztto anafaa weng wao n pro-CCM au ztto frends wanaojua watafaidka kwa njia moja ama nyngne zto akiukwaa Urais.
Zitto hafai mana n MCHUMIA TUMBO, KIGEUGEU na MNAFIK, hvo tukimpa ataeza iuza nchi na mambo mengne kama hayo.
Aendelee kuongoza hao wa2 wachache kwanza tukimuona amekomaa atashauriwa agombee kwa idhin ya Chama.
"HATUPO HAPA KUTAFUTA VYEO NA MADARAKA BALI KUHAKIKISHA WATZ WANAELIMISHWA NA KUIENEZA CDM NCHI NZIMA PAMOJA NA KUTOA SUMU WALIZOMEZESHWA NA CCM"
 
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

Kumpambanisha Zitto na Slaa ni sawa na kumpambanisha Mwai Kibaki (Kikuyu) na Odinga (Jaluo) katika Kikuyu land. Kila mmoja wetu anajua wazi hapo nani atashinda.

Kinachozingatiwa ndani ya CHADEMA si uwezo wa mtu bali anakotoka, dini na kabila. Sijui ni kipi kati ya hivyo ni cha kwanza.

Kwa hiyo kura ya maoni hii haimtendei haki Zitto wala si kipimo halisi kwa watanzania. Bogus!!!!!!!!!!!!!
 
Dr. Slaa amemzidi kila kitu Zito kwa hiyo huwezi kuwalinganisha (Tyson VS Matumla) na hii inajionyesha wazi zito kwa unafiki na ubinafsi mikutano mingi ya M4C ambayo Dr. slaa anakuwepo Zito huwa anaingia mtini kwa hiyo moja kwa moja ni kijana asiye na umoja miongoni mwa watu wanaotaka umoja na hata akipewa urais ataligawa taifa kwa ubinafsi alionao.
 
mkigoma atasema anampenda zitto kwa sababu ya dini

Kizazi hiki! Ipo kazi!!!

Sababu nne za kumchagua kiongozi yeyote zinapaswa kuwa kama ifuatavyo:

Na 1

  1. Uwezo wa kupanga na kupangua hoja bila jazba
  2. Uwezo wa kusema bila woga
  3. awe mwenye msimamo usioyumba, na mwenye mipango inayotimia.
  4. Awe ni mtetezi wa maslahi ya wananchi na nchi yenyewe..

Na 2

Ziada: Asiwe ni mwenye kupenda visasi na majungu! Awe mpenda maendeleo! Kinyume na hivyo:
  1. Awe mwenye kupendwa na watu
  2. Awe mwenye maneno mengi bila mipango mkakati
  3. Asiwe ni mwenye kuwajali wanaompa kura
  4. awe ni mwenye kutoa visingizio mara kwa mara badala ya kupata ufumbuzi.

baada ya hayo napenda kuchagua nambari moja kwa kiongozi ninaemtaka!! Ila kama ni kuchaguana kwa majina na urafiki basi nitamchagua mh. Zitto kuliko Mh. Dr. Slaa kwa sababu Zitto ni kijana na tunaweza kumbana na si Dr. Slaa maneno mengine tutashindwa kumwambia!!
 
Sipendi kuja kumshindanisha Rais wetu Dr Slaa na makapi ya ccm a.k.a chama cha mabomu ya kutoa utumbo. Maana itakuwa ni kumshushia hadhi yake Rais huyu wa mioyo ya Watz. KURA HII IWE YA MWISHO KWA Dr HADI UCHAGUZI MKUU 2015. Sipendi kusikia REDET wala SYNOVATE wanauzia sura zao kwa Rais wetu Dr Ukweli.
 
Hapo ni Dr.Slaa tu, Zitto kuwa na subira mda ukifika 2takufikiria,huu ni mda wa kukijenga chama zaidi na c mda wa kutangaza nia ya kuwa Presidaa. Ushauri wangu wa bure kwa Zitto ni kuwa ashirikiane na viongozi wengine wa juu wa CDM ktk kuiendeleza M4C,Kuwaelimisha wananchi hasa wale wa vjijini na hata pia wale wa mijini ambao mpaka hiv leo hawajaifahamu nia na madhumuni ya M4C.
 
Kwa msaada zaidi kwa ambao hawaupendi ukweli ni hivi
SAFARI YOYOTE NDEFU NA NGUMU INATAKA GARI JIPYA NA IMARA NA SI GARI KUUKUU MTAISHIA NJIANI!!!
 
ZZK atakuwa sawa na jk tofauti tu kati yao ni kuwa zito ndani ya kichwa kuna ubongo tofauti na vacuum ktk kichwa cha jk
 
Tatizo ni watu kupima homa kwa mkono!

Homa hupimwa kwa kipimajoto... wanafunzi waliokwishasaidiwa na ZZK wanatosha kuwa mashuhuda kuwa ZZK ni mtu wa aina gani
 
non-of them anafaa kuwa raisi, uraisi sio makelele , uraisi ni staha ya mtu na uzalendo alyo nao juu ya Taifa husika lakini hapo bado sana
 
Hivi aliyemruhusu huyu mtoa mada ni nani!?, saizi wote wanajenga chama tusubiri muda muafaka, mbona mna kiherehere! Ovyoooooo!!!!
 
I see Dr. Slaa to be courageous and politically matured. Hon. Zitto is a good leader too but he needs to have some time to know the country better.
 
I see Dr. Slaa to be courageous and politically matured. Hon. Zitto is a good leader too but he needs to have some time to know the country better.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom