Simba v/s Azam ngao ya hisani

Simba v/s Azam ngao ya hisani

Five-goal-Simba-rout-Yanga.jpg

hongera zenu simba na wale waliozamia simba bila kumsahau JB19 kwa kutupatia raha wanaazam dk ya pili tu ya mchezo..
 
Asante sana wadau kwa kutujuza. Hata hivyo sikuwa na pressure sana kwani mtoto halali na pipi mkononi
 
thanx man naona tokea penati tu nikajua hapa hatuna chetu hawa jamaa nshaanza kupata wasiwasi..

Huna lolote. Hapo ulipo furaha yako haina kipimo kwa Simba (timu yako ya kiukweli) kushinda mechi!
 
Mimi nimepita tu,nitarudi hapa tena baada ya dk 90 za mtanange huu....

vpi cjakuona bdo au bdo azijaisha,kuizuia simba ni sawa na kuzuia maji kwnye mkondo wake kudadadeki.
 
Mapema nilisema hakuna soka apo ni maigizo ya cuf na bwana wake ccm.. Azam ife ife ife kabisa imekuja kuua soka letu, mambo gan ya kwendekeza undugu ivi.
Simba ikifungwa siyo maigizo, ikishinda maigizo.
 
leo simba ingefungwa bundi angepiga kambi msimbazi.!
 
kazi ndo imeanza sasa,vijana wameshaanza kuelewana,haya ndala njooni sasa
 
tatizo kubwa la simba bado hawajazoeana tutapata shida michi za awali lakini nne na kuendelea watatutambue..
 
tatizo kubwa la simba bado hawajazoeana tutapata shida michi za awali lakini nne na kuendelea watatutambue..
Tatizo la Simba kwa sasa ni kukosa kiungo mkabaji, baada ya kumwacha Musa Mudde tumebaki na Amri Kiemba na Jonas Mkude ambao nao hawaanzishwi sijui kocha ana mpango gani?
 
Ndomyana kuwa mwanaspoti usiendekeze sana ushabiki wakati simba kafungwa goli la kwanza haikuwa maigizo lakin simba kushinda ni maigizo. Kwan hata zile 5 bila ilikuwa maigizo? Au maigizo ni kwa azam tu. Tutafanya tena maigizo october 3.
 
we ukuona maigizo ya refa toka lini football ndani ya dk90 timu ikapiga penart3,. Hiyo ni rekodi ya dunia
 
Tatizo la Simba kwa sasa ni kukosa kiungo mkabaji, baada ya kumwacha Musa Mudde tumebaki na Amri Kiemba na Jonas Mkude ambao nao hawaanzishwi sijui kocha ana mpango gani?
Mimi naona wamchezeshe Juma Nyoso kama kiungo mkabaji....
 
Back
Top Bottom