Recent content by bob nasta

  1. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Hongereni Walimu wa nchi hii

    Kikundicha watu fulani wanatafuna ela ya walimu hamna kinachowasaidia walimu maisha duni kiliko mtumishi yeyote wa uma afazali mansion wagonjwa wanawotoa kiaina walimu tuition marufuku michango hamna ndo walikua wanapata ela ya sugar
  2. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Bunge baada ya kuchokwa kwa muda mrefu wamekuja na kiki ya ku-trend

    Tushabikie mpira la sivyo tutakufa na pressure
  3. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Je, mikopo kupitia pension kwa watumishi wa umma bado ipo?

    Ukistaafu alafu unalipwa pension kile kinachobaki kule kwenye mfuko kuna benk zinakukopesha zamana ni ile chenji iliyobaki mfukoni
  4. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa majimbo haya hawawajibiki…

    Ukonga jamani huku kivule utazani hawaishi watu
  5. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

    Kazi zao ni very risk kifo nje nje hasa ma engineer
  6. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wamechoka kuibiwa
  7. bob nasta

    JamiiForums Tanzania NSSF watolea ufafanuzi ufadhili wa Clouds Media Group (Harusi ya Billnas na Nandy)

    Wamepiga palefu ao wabongo bwana nenda pale kaone wastaafu walivokata tamaa utazani wanasubili kuingizwa motoni
  8. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Sitamsamehe huyu mtoto wa mjomba wangu

    Kamba
  9. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Kamari kwenye radio zetu: Waziri mwenye dhamana chukua hatua

    Yani wananitesa sana wakitangaza kamali nabadili na uko nao ivo ivo wanaibia watu tu
  10. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

    Da poa sana umenikumbusha mbali sana wote uliowataja nawajua tena washkaji wa kalibu kabisa poa sana maisha yamėtusambaratisha
  11. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

    Karibu mamaz pub
  12. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

    Du unaonekana mjanja wa K/shamba ebu tukumbuke wajanja wengine marehem Fred Mzena na ndugu yake Chogo zaka au Ganga Pioka Pita Tosh Kimono Bob Nesta Abed kachanso Mudy Newyork wengi mno unamjua nani apo
  13. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

    Sorry ni KINONDONI SHAMBA
  14. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

    Kweli bwana sijui umewaza nini kwa mfano KINDONI SHAMBA na ADA ESTETI nyumbani kwa mkuu wa kaya huwa tunakutana wakati wa kupiga kula lakini tofauti ya maisha kama MBINGU na ARDHI
Back
Top Bottom