Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Mkuu naona ushajiwekea limits. Anyway kama mimi naweza naamini na mwingine anaweza mzigo huo hapo chini nimepokea three weeks ago hata sijavaa. Nimenunua UK online kwenye sale,kabla ya sale kuna kimoja hapo ni £60 ila kwasababu ya sale nimenunua vyote hivyo Kwa Tz 140,000/-
SD
 
Nakumbumka miaka hiyo early 90s, tunakaa Upanga, kuna rafiki yangu kona ya Mindu na Mathuradas, alikuwa anasoma Olympio P/S
Kuna wakati wa likizo ya shule, kina sisi tupelekwa mkoa kuwaoana babu na bibi,
Wao family nzima wanaenda Europe roud trip nchi zote , France 1 week, Germany 1 week, UK 1 week , akirudi tunapigiwa stori na chocolate kibao zawadi. Duuh!
huyo jamaa baba ake alikuwa balozi nini?
 
Mkuu naona ushajiwekea limits. Anyway kama mimi naweza naamini na mwingine anaweza mzigo huo hapo chini nimepokea three weeks ago hata sijavaa. Nimenunua UK online kwenye sale,kabla ya sale kuna kimoja hapo ni £60 ila kwasababu ya sale nimenunua vyote hivyo Kwa Tz 140,000/-
Unawezaje kuzidaka hizo sale,naomba shule wewe pamoja na Kiranga
 
Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Waliwahi kukuomba hela ya kula mpaka unawadharau?
Wewe wa mkoani ishi unavyoishi wacha wa DSM waishi wanavyoweza,dunia ni ya mungu tusidharauliane, wewe mwenye uhakika wa kula,ukiumwa utakuja DSM ndiko kwenye hospitali za uhakika.
 
Wana chuki sana na watu wa Dsm
 
Kweli bwana sijui umewaza nini kwa mfano KINDONI SHAMBA na ADA ESTETI nyumbani kwa mkuu wa kaya huwa tunakutana wakati wa kupiga kula lakini tofauti ya maisha kama MBINGU na ARDHI
 
Tofauti kivipi?

Ova
 
Watu good time kitambo sana
Kuna mzee mmoja alikuwa anamiliki karibu art gallery.....kuuza vinyago nje kitambo sana
Ukienda hoteli zote airport bidhaa zake zipo
Watoto wake walikuwa wanakula good time
Miaka ya 90 watoto wanakwenda nje for holiday
Watu exposure kitambo sana Walikuwa nayo

Ova
Yule Mzee amejenga pale Karibu Art Gallery tangu miaka ya sabini kulikuwa porini kabisa. Imagine Sinza kulikuwa kunaonekana mbali na mji, yeye kajenga kule. Alikuwa na mahesabu ya mbali.

Wakati mshua anajenga Mbezi Beach miaka ya themanini tulikuwa tunakwenda sana pale ku chill.

Likizo zangu zote sikosi kupitia pale kucheki vinyago.
 
Mzee woisso alikuwa vzr alikuwa na mtoto wake mmja
Anaitwa kide alikuwa na vituko sana
Baba yake kaanza kushika $ kitambo sanaaa aise

Ova
 
Kweli bwana sijui umewaza nini kwa mfano KINDONI SHAMBA na ADA ESTETI nyumbani kwa mkuu wa kaya huwa tunakutana wakati wa kupiga kula lakini tofauti ya maisha kama MBINGU na ARDHI
Upande wa pili wa ADA ESTATE una maisha tofauti ya chini sana na GYM uchwara za kutosha za vijana wa uswazi
 
Wewe wajanja wote tulikulia huko
Tulikuwa msaada sana kwa watoto wa obay na Ada Estate na watoto wa leaders hku mpk kwa mzee Gama
Sasa cha ajabu sisi tulikuwa tunaelewana vzr na watoto wa kishua obay masaki Ada kuliko watoto wa block41 au regent ila baadhi tu lbda
Ila watoto wa obay Ada walikuwa na discipline huku uswazi walikuja kutafuta ukomavu tu

Ova
 
Yule Mzee amejenga pale Karibu Art Gallery tangu miaka ya sabini kulikuwa porini kabisa. Imagine Sinza kulikuwa kunaonekana mbali na mji, yeye kajenga kule. Alikuwa na mahesabu ya mbali.

Wakati mshua anajenga Mbezi Beach miaka ya themanini tulikuwa tunakwenda sana pale ku chill.

Likizo zangu zote sikosi kupitia pale kucheki vinyago.
80s mbezi beach ilikuwa mapori aise
Watoto wa sahv hawawez kuelewa hilo

Ova
 
Wewe wajanja wote tulikulia huko
Tulikuwa msaada sana kwa watoto wa obay na Ada Estate na watoto wa leaders hku mpk kwa mzee Gama
Sasa cha ajabu sisi tulikuwa tunaelewana vzr na watoto wa kishua obay masaki Ada kuliko watoto wa block41 au regent ila baadhi tu lbda
Ila watoto wa obay Ada walikuwa na discipline huku uswazi walikuja kutafuta ukomavu tu

Ova
Du unaonekana mjanja wa K/shamba ebu tukumbuke wajanja wengine marehem Fred Mzena na ndugu yake Chogo zaka au Ganga Pioka Pita Tosh Kimono Bob Nesta Abed kachanso Mudy Newyork wengi mno unamjua nani apo
 
Duh Fred mzena rip kaka yke richy yupo bado
Huko kulikuwepo na wakina Wille rip
Bob samba nafikiri yupo,wakina muddy kayuni aliendaga uk,hasan kayuni aliendaga uuturuki alirudi bongo ila rip,wakina keny vaso aliendaga denmark,wakina gunmaster wako usa,batonkwiza
Team ya mpira yetu msebenze nkiwa mmoja wa wanzilishi na beki enzi hzo matata hapiti mtu nyuma
Abedy kachanso si abed kijicho
Walikuwepo wakina chamsela na wahuni kibao
Ukija Kino shamba juu Hku unakutana na mabaharia wakina Peter Makumbi Juli Makumbi wazee wa Italy Trans tushapiga sana debe magari yao enzi hzo coaster mpyaaa 0 km zinakuja
Kinondoni mpaka kesho watu wameacha Alama licha hatupo huko
Ukija block 41 unakutana na wakina akachube mkristo rip

Ova
 
Du unaonekana mjanja wa K/shamba ebu tukumbuke wajanja wengine marehem Fred Mzena na ndugu yake Chogo zaka au Ganga Pioka Pita Tosh Kimono Bob Nesta Abed kachanso Mudy Newyork wengi mno unamjua nani apo
Mzee mzena mbn alikuwa mzee wetu sana mpaka enzi hzo ile Peugeot yke watu tulikuwa tunaikamua sana.....Sema Freddy alikuja kpoteaa kwenye mambo fulani tu

Ova
 
Back
Top Bottom