Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Duh Fred mzena rip kaka yke richy yupo bado
Huko kulikuwepo na wakina Wille rip
Bob samba nafikiri yupo,wakina muddy kayuni aliendaga uk,hasan kayuni aliendaga uuturuki alirudi bongo ila rip,wakina keny vaso aliendaga denmark,wakina gunmaster wako usa,batonkwiza
Team ya mpira yetu msebenze nkiwa mmoja wa wanzilishi na beki enzi hzo matata hapiti mtu nyuma
Abedy kachanso si abed kijicho
Walikuwepo wakina chamsela na wahuni kibao
Ukija Kino shamba juu Hku unakutana na mabaharia wakina Peter Makumbi Juli Makumbi wazee wa Italy Trans tushapiga sana debe magari yao enzi hzo coaster mpyaaa 0 km zinakuja
Kinondoni mpaka kesho watu wameacha Alama licha hatupo huko
Ukija block 41 unakutana na wakina akachube mkristo rip

Ova
Da poa sana umenikumbusha mbali sana wote uliowataja nawajua tena washkaji wa kalibu kabisa poa sana maisha yamėtusambaratisha
 
Wewe wajanja wote tulikulia huko
Tulikuwa msaada sana kwa watoto wa obay na Ada Estate na watoto wa leaders hku mpk kwa mzee Gama
Sasa cha ajabu sisi tulikuwa tunaelewana vzr na watoto wa kishua obay masaki Ada kuliko watoto wa block41 au regent ila baadhi tu lbda
Ila watoto wa obay Ada walikuwa na discipline huku uswazi walikuja kutafuta ukomavu tu

Ova
Sasa hivi ADA ESTATE wazungu kama wote wamepanga mule sijui hawaogopi roba za vijana wa kitaa
 
Tuliotoka ushirombo na kuja Dar kipindi mkuu wa mkoa ni call me jay boy tunapewa sana za uso kwenye huu uzi
 
Sasa hivi ADA ESTATE wazungu kama wote wamepanga mule sijui hawaogopi roba za vijana wa kitaa
Hakuna roba kule Ada Estate ila nashanga kwann mitaa kule mfano galu street etc haipigwi lami
Au mtaa wa kwa Dr Andrew kitu ambacho miaka ya 80 lami ilikuwepo,lami ipo kuingilia mbuyuni pale kuelekea kwa ??? Tu
Miaka ya nyuma kinondoni mjini,mwananyamala kote ilikuwa lami na taa juu sahv ukimuona mtu anashangaa lami anafurahia wkt mambo hayo zamani yalikuwepo huoni kama tulirudi nyuma
Mwananyamala kulikuwa na open space na gardens nyingi sahv kote kimejaa garages uchafu mtupu
Watoto hawana pa kucheza watoto wanacheza kimkandamkanda ndoamana wanaingia kwenye makundi ya ovyo na kujifunza tabia za ajabu ajabu

Ova
 
Ray si alikuwa anakaa tabata
Nliskia walikuwa wanagombania dem hko

Ova
Kabla walikuwa wanakaa Upanga karibu Makaburini ya upande Zanaki Sec, mbele ni barabara ya Maktaba Kuu ya Taifa
Nilipokwenda kwenye mazishi walikuewa wanakaa Kigogo sikosei
Nasikia ni Demu ndio ulikuwa mpango wenyewe.
 
Aise Haya mambo yako kila mahali
Mamanzi shida

Ova
 
Science, kijitonyama hadi morocco inapendeza, bora hivi vitu vingejengwa ubungo to kimara ili wageni wakija waone.
 
Attachments

  • FB_IMG_16024330428431896.jpg
    FB_IMG_16024330428431896.jpg
    41.5 KB · Views: 3
Science, kijitonyama hadi morocco inapendeza, bora hivi vitu vingejengwa ubungo to kimara ili wageni wakija waone.
Knight support ilikuwa jumba la batenga sasa sjui kaingia ubia au nao waliuza
Kweli moroco kwenda Victoria kna pendeza bora watu wawapishe wenye fedha wafanye yao

Ova
 
Hili ndio inakera zaidi , unanunua. shati kwa 25000 ,ukifua Mara moja tu tayari limepoteza nusu ya ubora wake ! Imagine , ndipo hapo unapiga hesabu no bora ununue shati hata Bei ghali lakini lidumu ,Miaka ya nyuma kulikuwa na duka la cadburys pale kariakoo , jamaa alikuwa analeta nguo classic kweli kweli , niliwahi kununua t shirt nikazitumia karibu Miaka minne baada ya kuzichoka, nikamuuzia mtu mbeya naye akaziuza Kama mtumba.
Kama una mtu yoyote us unaweza wasiliana nae aje nguo kadhaa, hata kama haji wapo wabongo kibao lazima kila mwaka watinge bongo kutokea us, Akija unamcheulia pesa yake
 
Inawezekana una hoja ya msingi lakini unakosea namna ya kuiwasilisha.
Mfano kuna maeneo mikoani yako vizuri kuliko DSM. Mfano Tandale na Njiro Arusha au mbagala na Kapripoint Mwanza au Manzese na Forest Moro. Ungesema hivi hoja yako ingekuwa ya msingi.
Ila ukilinganisha mkoa kama mkoa utafeli. Unaweza kuzunguka DSM yote Bunju-Mbagala-Kiluvya usipate nyumba ya nyasi.
Je mikoa mingine hili linawezekana?
We jamaa wewe Chanukah nyumba za makuti zimeisha?
 
Kama una mtu yoyote us unaweza wasiliana nae aje nguo kadhaa, hata kama haji wapo wabongo kibao lazima kila mwaka watinge bongo kutokea us, Akija unamcheulia pesa yake
Kisu chake kirefu aisee, nguo US ziko juu.

. Hapa Nina jeans 3 haxinitoshi mnashindwa was kuuzia.
 
Mfano nikitaka kidonda kikali(SAA) ya mkononi huko USA dola ngapi hivi
Kama una mtu yoyote us unaweza wasiliana nae aje nguo kadhaa, hata kama haji wapo wabongo kibao lazima kila mwaka watinge bongo kutokea us, Akija unamcheulia pesa yake
 
Mfano nikitaka kidonda kikali(SAA) ya mkononi huko USA dola ngapi hivi
Kwa sasa Nipo bongo, ila kwa mwaka mara moja naenda pale, kuhusu chochote ni pesa yako tu hata ukitaka saa ya dola 500 ni wewe tu.
Vitu vyao ni OG kwa kweli,kuna marashi nilikuwa natumia lazima kila mtu aniulize nimenunua wap
 
Back
Top Bottom