Recent content by Boardroom

  1. B

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Alasiri Hoteli ... aliacha shule akiwa form one Njoss 1993/4
  2. B

    JamiiForums Tanzania Missungwi High School Ni shule mpya?

    Ndg Loook.... mawasiliano na huyu mwl naweza kuyapata leo leo???
  3. B

    JamiiForums Tanzania Missungwi High School Ni shule mpya?

    Nasubiri kwa hamu ndugu ... natanguliza shukrani..
  4. B

    JamiiForums Tanzania Missungwi High School Ni shule mpya?

    Barikiwa sana....
  5. B

    JamiiForums Tanzania Missungwi High School Ni shule mpya?

    Wandugu. Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah. Asante.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    muhammad ndo jina lako???
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    Mmmh! Cute hebu funguka...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najihis 1/2mwanaume coz sijawai toa bikira

    ni lazima ubikiri???? Nashauri hii thread iondolewe humu maana inatia najisi...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    Hilo ni fungu la kumi upande wa pili. . . . Si bora ukatoe tu sadaka kanisani ijulikane kala mchungaji? au kusaidia maskini? Anyway Pole
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Mmmh! Hebu yaangalieni mawazo yenu kwa jicho la tatu...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

    Huyu mumeo ana shida either alipita mapito mabaya ama pepo tu limemwingia bila yeye kujua... Wewe ndio mwenye kazi ya kufunga na kuomba ili mwenzi wako apone.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

    Dada msaidie mwenzako anahitaji sana msaada wako...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

    Mwenyezi mungu alivyotuumba wote hatufanani. Ukiona mume safi ujue tatizo litakuwa kwa mke and vice versa jamani 70% of marriages huo ndo ukweli.
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

    hii ndiyo njia iliyo bora na sahihi. Akiri kwa imani yake mwenyewe kwamba yawezekana mumewe kubadilika na itakuwa hivyo..... Just mapepo wabaya hao.
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanawake tu,wanaume msiingie

    Jamani bora kaeni na wanandoa wenu . . . tulizana looh.
Back
Top Bottom