I concur with you, na on top of that Hamad Rashid ana uchu wa madaraka, kumbuka miaka yote huko nyuma alikua anamsapoti Maalim na wakati ana madaraka Bungeni mbona alikua kimya, na hata kuingia ktk serikali "anayoita Kuolewa' na yeye anahusika big time, mi nadhani anafanya haya yote sababu kwa...