Recent content by bm21

  1. bm21

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nimekuwa nikijaribu kujiunga na PayPal hapa Tanzania bila mafaikio. Msaada tafadhari
  2. bm21

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

    JK analifilisi taifa kunasababu gani ya kuwa na gwaride Dododo wakati shughuli yake kuu ni kuhutubia bunge.
  3. bm21

    JamiiForums Tanzania Re: Waiters and waitresses job opportunities in arusha

    Arusha Residents: Good News, SF Ground of Companies is looking for waiters and waitresses kindly send your CVs to betahaness@yahoo.com. Work starts immediate after interview. Thanks and best regards.
  4. bm21

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu oparesheni inayoendelea mtwara

    Nafikiri uwezo wa kiakili wa huyu kamanda ni mdogo sana hastahiri hiyo nafasi. Mteuzi wake kama ni makini alitakiwa kuwa ameshamfuta kazi kutokana na report hii
  5. bm21

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu oparesheni inayoendelea mtwara

    Kwanini Jeshi la Polisi litafute waanzilishi wa vurugu. Mi naona ni haki yao kuprotest. Jeshi la polisi ni wajibu wao kuzuia vurugu. Kuwasaka waanzirishi wa protest ni kuwanyima raia haki ya kuprotest which is unconstitutional act
  6. bm21

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Oops mbona mii sioni link ya hiyo vidio. msaada pls
  7. bm21

    JamiiForums Tanzania Soko La Mbao!

    Check inbox I need it
  8. bm21

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

    R.I.P Regia Mtema!!! There is no good word to express how we will miss your presence.
  9. bm21

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na mazungumzo na ujumbe wa CHADEMA

    Amani ni kitu muhimu lakini hakipaswi kuwa sababu ya kuzuia mambo mhimu yasijadiliwe
  10. bm21

    JamiiForums Tanzania JK anaharibu hadhi ya elimu kwa kujiita Dr. wakati siyo, pamoja na wanasiasa wengine

    Nadhani anahitaji hiyo title that's why watu wanaomaddress wanajikuta ni lazima waitumie. Mkapa pia anadoctorate ya heshima kama ya Kikwete lakini hakuwa addressed as Dr. mpaka sasa, so the dude likes that title
  11. bm21

    JamiiForums Tanzania Ooh Poor NSSF!! - What is this?

    M.M, Natambua unatambua NSSF imejenga Flats za Police Kurasini, Zanzibar (Unguja) na Pemba. Pia NSSF kwa kushirikiana na mifuko mingine under PPL wamejenga Ukumbi wa Bunge (Mjengoni) about 45 billion. NSSF hii imejenga UDOM about 300Billion. NSSF inampango wa kujenga ubarozi wa Tanzania Kenya...
  12. bm21

    JamiiForums Tanzania Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

    I know better the guy, basically he is good shida yake kuu ni UDINI
  13. bm21

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya is wrong about SUA

    Usually, a 10pages paper or so can be summarised and presented in just one cartoon. In this case interpreting the same need well focused, analytical and with fresh mind guys to comprehend what the cartoonist meant in his/her cartoon. I'm afraid lack of these is what makes this discussion so long...
  14. bm21

    JamiiForums Tanzania Mrema wa TANROADS ang'olewa rasmi

    Suala la Mrema kama linavyoreportiwa ni suala kubwa sana na halipaswi kuchukuliwa kiushabiki wa kumshabikia Magufuli tuu kama inavyoonekana hapa. Nimesoma tuhuma za Mrema magazetini hazitofautiani sana na zile za mafisadi papa. Lakini ninavyofahamu mimi issue ya Mrema haitofautiani sana na ile...
  15. bm21

    JamiiForums Tanzania NADHAMIRIA KUISHTAKI Zain kwa UCHOCHEZI

    ''Tatizo tulilo nalo hapa bongo hatuna mikataba na huduma hizi yaani zipo zipo tu. Nikama tunasainishwa automatically that's why watu wa promotion hawapata ridhaa ya wahusika''
Back
Top Bottom