Recent content by bluemonkey

  1. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Hebu tumkwamue huyu dogo

    Mpeleke mtafutie mwalim wa Pure advance mathematic ,Economics--aanze na Econmc one, na Geograph aanze na Physical geograph ,mwache asome hata miezi 5 halafu mpeleke private school itamsaidia sana anweza fikia malengo yake
  2. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa tatu sasa anaishi kwa wakwe zake bila mumewe

    kama aliolewa kwa taratibuza kimila yakwao pia yawezekana na mme kamuweka kwa taratibu zakwao pia maana hapo kilammoja anamila yao
  3. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Njia zote nimetumia kwake, mwaka wa tatu sasa bado simuelewi

    mie napita tu
  4. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awalipua UKAWA Babati

    Amesemaje? mbona umetuwekea picha tu? ndo ulipuaji gani huo?
  5. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadili dini ili nioe

    we dini ya uislam huijui unawajuwa waislam na hujasoma chochote kuhusu uislam baliuliimbishwatu dini soma sura ya tatu aya 85 kwa kukusaidia huwezi endelea kutuletea utumbowako huo badili ukapewe kitabuchako kwa mkono wa kushoto tenakwa kupigwa mgongo
  6. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    Wewe unalalamika kudanganywa ambako hakujatimia ungeonekana unaakili ungelalamikia watu waliokudanganya miaka 54 na wasitekeleze chochote juzi tu mliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania hayo husemi unaleta mbwembwe za nini watanzania wamechoka ahadi za manyani
  7. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    Umenufaila na vyake na hutaki kuvisema alivyokusaidia kutongozwa ndo unataka ushauri, Halafu kutongozwa sihaki ya mwanamke kaka ni uliezaliwa nae acha kujificha kwenyekichaka cha karanga subiri akuoe huyo
  8. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    zitakuwa tayari zipo kwenyekapu lao
  9. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mtanzania usiue, usipigane na usitukane mwenzako kwa ushabiki wa kisiasa

    Paschal ndege mungu akulipe kwa ushauri wako mzuri yatubidi wote tuufanyie kazi ili tuwahukumu waomba kura kwa vigezo vyao na sivinginevyo
  10. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuwaamini wanaume

    pole sister ila kunakitu unakikosea ndo maana unapata mtihani jichunguze na hao wanaume huwa unawapata mazingira gani? kwenye masoko, mikutano ya kidini, disco, vilabu vya pombe, we chunguza utagundua tatizo lipowapi
  11. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Lissu na Slaa kulamba matapishi yao? Mkakati uliopo ni, Lowassa Mgombea Urais, Slaa Waziri Mkuu

    Niheri ukarizika na samaki watano wazim kamakitoeo chako cha siku kuliko kupokea lori zima la samaki walio oza mana hata walewachache hitowaona kabisa
  12. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hali mbaya Kiteto, ofisi za Chama hicho ikiwemo ya Wilaya yafungwa zaidi ya miezi sita sasa

    Subirini moto wa EMBOLEYMUTANGOS mtatia adabu tu hizo porojo za miaka hamsini na zaidi zitakwisha
  13. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Anapotezea watu muda mwambieni awekepicha yake hapa na namba ya sim maana yawezekana ni mbibi halafu anaongelea kuzaa wakati na yeye ni walewale
  14. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe

    walimwengu tunamambo
  15. bluemonkey

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa ccm na wajumbe wa NEC (CCM) kuondoka Chamani Rasmi

    Wanatishia pori kwa kiwembe
Back
Top Bottom