Njia zote nimetumia kwake, mwaka wa tatu sasa bado simuelewi

Hilo nalo neno! ila isijeikawa mumeruhusu theory za kwenye MOVIE ziwe practical KWENU.Maana 3 yrs bro! halafu hujakataa tamaa siyo kitoto yaani kama ni uvumilivu wewe ni zaidi ya WATANZANIA waishio ktkt ya hali ngumu ya maisha lakini wakiwa kimya tu. KAZA BUTI
 
Mwana ni kweli nilitaka nikaze buti lakini sasa naona kamba zinazidi kulegea tena kwa kasi
 
Duh! naona mnanipa vidonge vyangu. nilitegemea haya yote maana si kitu cha kawaida kwa mbongo kama mimi kupigwa pending kwa miaka mitatu yote. that y nimeona wengine wakiniambia mimi ni mshamba others mimi zoba but yote kwa yote mimi nilitaka mawazo yenu tu maana kufikia hatua hii niliyoifanya inamanisha tayari nimeisha choka wadau.
 
Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza akanifanya nikamsahau maana kanifanya niwahate ma she wote. Hebu niambien wadau nifanyeje na anafahamu nampenda kupita kiasi.

nione mkuu, nina dawa ya mshana nikikupa utasahau maumivu ya miaka yote mitatu!
 
njia zote zipi hizo bro...acha kukariri
nafikiri ndizo zilizosababisha upoteze pambano!
 
Miaka mitatu ni mingi draw off your attention to her,think and do other things which can make you happy.
Jivue gamba la ung'ang'anizi
 
mbona jibu keshakupa siku nyingi? Si keshakwambia muwe marafiki tu? Ung'ang'anizi wenu ndo unawaponza
Wanawake sa nyingine majibu yenu ni ny*ko . Sa urafiki wa kazi gani. Kuna urafiki kati ya predator na prey?
The predator is born to hunt not negotiate. Bora angemwambia akahunt pori lingine. Huyu jamaa na yeye 3years anakomaa tu! kha!

Kama bado anakomaa nae sasa itakuwa miaka minane duh,hatujapata feedback
 
Mmmmmm kaz ipo 3yrs kama angekuwa anakupenda asingeweza kukuweka 3yrs waiting tu ------- Huyo kwanza haoni shida kukupoteza jiongeze tembea mbele pia usijitowe utu wako kwani hata akija kukubali atakutesa tu hakuna jipya zaidi ya mateso hapo - Mpende akupendae asiekupenda mwache kiroo safi bora anekwambia ukweli kuliko atakaejifanya wako kumbe washika pembe
 
Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza akanifanya nikamsahau maana kanifanya niwahate ma she wote. Hebu niambien wadau nifanyeje na anafahamu nampenda kupita kiasi.
hapo anza kutembea mdogo mdogo..mademu huwa wanatabia ya kufanya comparison.. bado yuko anakucompare na wengine.. anasaka channel..au wanasemaga ana-analyse data.. #there are plenty of fishes in the sea:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Kuambiwa wawe marafiki tu jamaa alitakiwa akasake pori jingine....

Tatizo bado kakomaa hapo hapo.... (sijui ndio kuhunt au kunegotiate, huku anamaliza soli za viatu tu....)

Wanawake sa nyingine majibu yenu ni ny*ko . Sa urafiki wa kazi gani. Kuna urafiki kati ya predator na prey?
The predator is born to hunt not negotiate. Bora angemwambia akahunt pori lingine. Huyu jamaa na yeye 3years anakomaa tu! kha!

Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza akanifanya nikamsahau maana kanifanya niwahate ma she wote. Hebu niambien wadau nifanyeje na anafahamu nampenda kupita kiasi.

Yaan wanawake wengi mtoto wa kiume unalialia jf
 
Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza akanifanya nikamsahau maana kanifanya niwahate ma she wote. Hebu niambien wadau nifanyeje na anafahamu nampenda kupita kiasi.

Uchaguzi subiri upite utapata jibu kamili kwa sasa ni ngumu kutaamka ni nani wala kutabiri..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom