CHADEMA hali mbaya Kiteto, ofisi za Chama hicho ikiwemo ya Wilaya yafungwa zaidi ya miezi sita sasa

washakatwa hawana jipya tena hata wafanye nini washapotea kabisa kwenye siasa za tanzania hasa babati..
 
Wakati chama cha mapinduzi kikizidi kung’ara hapo Kiteto takribani wiki ya pili sasa baada ya Magufuli kuchaguliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika October 25 mwaka huu, hali ya chama cha upinzani CHADEMA inazidi kuwa mbaya wilayani hapa baada ya wanachama wake kadhaa kurudi CCM kutokana na sababu mbalimbali na kupelekea ofisi za chama hicho wilayani hapa kutofunguliwa.

Ofisi ya wilaya CHADEMA hapa Kiteto ipo taabani, wakati viongozi wakuu wa chama cha CHADEMA wakiwa katika ombwe zito la kumpata mgombea wao pamoja na ukawa hali ya chamaa hicho wilayani imekuwa taabani na kubakia kuwa chama cha mijini na kwenye magazeti, tv pamoja na mitandao ya kijamii.

Hapa wilayani kiteto ofisi za CHADEMA ikiwemo ya wilaya na nyinginezo zina zaidi ya miezi sita haijafunguliwa kutokana na kudaiwa kuwa hali mbaya ya kisiasa ya chama hicho ambapo wana kiteto hususani hapa Kibaya makao makuu ya wilaya hawana mpango nacho kabisa.

Inasemekana kuwa sababu kubwa ya chama hicho kinachotishia kupotea wilayani hapa ni kukosekana kwa fedha za kulipia pango za frem wanazodaiwa na wenye nyumba waliokipangishia chama hicho.

Pia chama hicho kilikumbwa na kukimbiwa na wanachama wake hususani vijana ambao wengi wamekimbilia ACT-Wazalendo na wengine wengi kurudi CCM baaday ya uteuzi wa John Magufuli kuteuli wa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM.

Badhi ya walikuwa wana chadema ambao leo hii wameungana na wana CCM wakiwa na mavazi ya njano na kijani katika uchaguzi wa wa ndani wa kutafuta viti maalum wamesema kuwa wamechoka kutoa fedha zao za mifukoni na kuendesha chama wakati na chama hicho kinapata ruzuku, pia wameaamua kurudi CCM kuachana na ubabaishaji unaofanywa na vyama viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuwa wamekuwa wakihubiri wasiyoyatenda.

Sababu nyingine wamesema kuwa CHADEMA kimebakia kuwa chama mijini na vyombo vya habari yakiwemo magazeti na tv na hata mitandao ya kijamii wakati hali halisi wilayani hali mbaya hususani hapa Kiteto hakina nafasi kabisa si kwa chama hicho wala UKAWA
umeshikwa na mhemuko wa :mimba:subiri ujifungue
 
mkibisha nakutokwa na mapovu naweka picha
wenzio wanaweka na ushahidi kama hivii.....

Demonstrations-Chadema-Mwanza-400x288.jpg



sasa wewe unaweka mipovu yako nani atakutambua kama ume:puke:
 
Shule ni muhimu sana...Hivi mtu anaweza kuambia kitu ambacho unaona kabisa hii si kweli bado unabishana ..
Hiyo inaonyesha hata wewe uelewa wako ni sifuri.
 
uongooooooooooooo mtuuupuuu!!!!!piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,piga piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee|!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!..uunatumiwa km toilet paper subiri muda utatupwa pwaaaaaaaaaa!!!!
 
Danganya wajinga!!CCM kiteto imebaki vipande baada ya mzee mamvi kuwekwa kando!!Wengi kama siyo wote wako Chadema
Chadema wanaingia kama ukawa ili kuziba mapengo kama hayo.kama chadema wamepwaya utakuta cuf wako viziri.lengo ninkushika dola hakuna muda wa kichezea tena.mchakamchaka tu.
 
Back
Top Bottom