Recent content by bluecolour

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolazimisha mabwana zenu wakate/wabane mirija yao ya kutoa mbegu za kiume (sperms), hamjengi mnaharibu zaidi!!

    Kuna vitu dadaangu havina cha kukamatika wala nini issue yakumshawishi kidume kufunga uzazi co kama unavyoiwza naamini mwanamme hata awe boya au bushoke VP ukimletea mada hiyo unambumbulusha maxima labda utumie ulozi (uchawi) lakn kawaida kabiaa wanaume wenyewe hawa wa kileo iyo ngumu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamme ushawahi kutongozwa na mwanamke au mdada ushawai kumtongoza mwanamme?

    Mimi wanafika wanne wa mwisho juz kati mtoto wa mama mwenye nyumba..alianza kujisemesha semesha eti uzuri woote huu ata hunitongz..??? Jibu langu cku zote sina hela ndio maana ckutongoz wasichana wazur kama wewe.. Sasa hivi najilia buuure na msos wa ucku unaopikwa kwao huqa naletewa akiwa na nyege
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu tisa wa Kenya wakamatwa Dodoma Tanzania

    Walimu wawili wa shule ya sekondari Kifaru wawekwa korokoroni kwa kosa kujihusisha kuwahifadhi na kuwasafirisha wahamiaji haramu kutoka Kenya waliokuwa safarini kwenda Zambia. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma kamanda Gilles Muroto alisema...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Simba kama mpira umewashinda? Chezeni pool maana ndio mchezo ambao matokeo yake hupatikana mezani

    Simba hawajielewi yaani toka kuongoza ligi points 8 hadi kuomba promotion...??? Daaah hii Kali aisee..!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaitisha mkutano na Waandishi wa Habari hivi punde

    Kwani nyie mwaka 47 wakati mkienda nje mlileta kombe gani?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaitisha mkutano na Waandishi wa Habari hivi punde

    Issue co wanaenda wapi au wanachukua kombe gani issue hapa haki,taratibu na kanuni zifuatwe co kupewa pewa pints hovyo...!! Wao simba kama wana ushahidi wa kadi tatu hofu yenu nini??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaitisha mkutano na Waandishi wa Habari hivi punde

    Haaachi kutapatapa...!! Kwani simba mna hofu ya nini kama ushahidi upo wazi...??
  8. B

    JamiiForums Tanzania Takukuru:Tunaomba mtusaidie kuichunguza mechi ya mbao na simba,

    Simba ile mechi alishinda kwa namna maana simba haina Mpira wa kumfunga Mbao bao 3 ndani ya dakika 10..! Kama angekuwa na uwezo huo angeshinda kwa toto au kagera TAKUKURU Kuna jipu limeiva hapa linahitaji kuchunguzwa na kutumbuliwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

    Tumedandia sawa lakn yeye kasoma kupitia hiyohiyo lugha tuliyoidandia na akafaulu kupitia lugha hiyohiyo lakn inamgogoro kwa upande wake sasa swali alifaulu vp...??
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

    Umri hauna shida tatizo akikuzidi NGAWIRA ndio utateseka sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake walioolewa ni wepesi sana ukiwatongoza?

    Hili lina ukweli ndani yake mkuu...!! Mimi pia naweza kuthibitisha kwa matukio kadhaa yaliyonikuta na mawaifu wa watu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kuzima jaribio la kuitikisa Serikali yako

    mfano gani mkubwa alioubuni yeye ambao unatekelezwa...?? Zaidi ya miradi yooooote kuikuta iko hatua zamwisho kuanza utekelezaji wakeo
  13. B

    JamiiForums Tanzania Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Yeah...!! Wanaruka ruka huku wanatoa mifano icyoendana wanaacha mada wanaenda ushabiki..!! Rais wa china kasoma kwa kichina so kujua kingereza co lazima kama huyu wetu ambaye amesoma mpaka hapo kwa kiingereza
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameona anguko lake 2020, sasa anataka kujisafisha kwa kina Kikwete

    Hujui alichofanya kikwete kwa nchi hii co..?? Pole sana
  15. B

    JamiiForums Tanzania Angalia Data za World Bank; Nani Zaidi - Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli Kwa Uchumi Tanzania

    Viwanda kila siku vina viwanda kila siku vinafungwa hakuna jipya hapo ni siasa uchwara tuu hizo
Back
Top Bottom