Takukuru:Tunaomba mtusaidie kuichunguza mechi ya mbao na simba,

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,117
1,368
Sisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili timamu,maana vituko vilivyooneshwa na yule golikipa ni beyond reality. Tunaomba achunguzwe kwenye akaunti yake, na hata mawasiliano yake. Na mali anazomiliki kwa sasa ukilnganisha na pato lake. Vinginevyo hatuta vumilia ,nadhani nguvu ya yanga mnaijua. Na naomba viongoz muitishe kikao cha dharura ,tufanye maamuzi. Nnachojua Wambura atamponza malinzi , uchaguzi ni mwezi Wa nane
 
everyone is subjected to mistakes , timu yoyote ichunguzwe tu
iv simba ingeshinda ile mechi je kungekua na chokochoko hizi
kama sheria zimewekwa zifuatwe kipa wa kagera alionekana kapewa mlungula kwenye mechi ambayo yanga ilishinda goli sita lakin no one consider that y 2dya ppo shout about 3 points of smba fc
 
Trafiki Polisi wanakula rushwa sana hawachunguzwi ndio waje kuchunguzwa Mbao?
 
Hivi na nyinyi Yanga mchunguzwe maana kila mwaka waarabu wanawatoa kwenye mashindano,sio bure munahongwa nyie! Kipigo cha 4G kama vile kipa hakuwepo,haiwezekani.
 
Sisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili timamu,maana vituko vilivyooneshwa na yule golikipa ni beyond reality. Tunaomba achunguzwe kwenye akaunti yake, na hata mawasiliano yake. Na mali anazomiliki kwa sasa ukilnganisha na pato lake. Vinginevyo hatuta vumilia ,nadhani nguvu ya yanga mnaijua. Na naomba viongoz muitishe kikao cha dharura ,tufanye maamuzi. Nnachojua Wambura atamponza malinzi , uchaguzi ni mwezi Wa nane
Povu tu, Shida mnapenda Yanga kuliko mpira wenyewe
 
Simba ile mechi alishinda kwa namna maana simba haina Mpira wa kumfunga Mbao bao 3 ndani ya dakika 10..! Kama angekuwa na uwezo huo angeshinda kwa toto au kagera TAKUKURU Kuna jipu limeiva hapa linahitaji kuchunguzwa na kutumbuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom