Wewe mwanamme ushawahi kutongozwa na mwanamke au mdada ushawai kumtongoza mwanamme

..mmh sio kwa humu JF labda nje ya JF
tapatalk_1584942038668.jpeg
 
Mimi wanafika wanne wa mwisho juz kati mtoto wa mama mwenye nyumba..alianza kujisemesha semesha eti uzuri woote huu ata hunitongz..??? Jibu langu cku zote sina hela ndio maana ckutongoz wasichana wazur kama wewe.. Sasa hivi najilia buuure na msos wa ucku unaopikwa kwao huqa naletewa akiwa na nyege
 
Mimi wanafika wanne wa mwisho juz kati mtoto wa mama mwenye nyumba..alianza kujisemesha semesha eti uzuri woote huu ata hunitongz..??? Jibu langu cku zote sina hela ndio maana ckutongoz wasichana wazur kama wewe.. Sasa hivi najilia buuure na msos wa ucku unaopikwa kwao huqa naletewa akiwa na nyege
Kama hauna hela wanawake wazuri wote waheshimu kama mashemeji zako!
 
Mwengine alinionyesha deeply signs of her emotions juu yangu.. nilikuwa nafikiri Yale mambo ya mtoto wa kike kukuumia vidole ni kwenye bongo movie tu! But weeeeee it's real alishindwa kuficha hisia zake nikajiongeza grace nakumbuka jina lako..

Mwengine mtoto wa kichaga same her body language was speaking everything to me! Huyu najilaumu kenge Mimi na kupitia yeye nimejifunza mtoto wakike akikupenda anaonyesha signs zipi! But pumbavu sikushtuka kipindi kile I was deeply with aliens👽👽

Mwengine huyu namkumbuka kwa visa vyake sina la kusema ila miguu yangu ilipata kasheshe Sana darasani alihama dawati lake akaja dawati nalokaa mimi na hayupo radhi mtu akae mkabala na Mimi ataomba ama atapenya tu ilimradi akae nami mwalimu yupo darasani lkn yeye alikuwa analeta miguu yake anashikanisha na yakwangu inasuguana weee dah! And she was feeling great!! Mwanamke akipenda huwa kipofu.
Aisee, ni majuto ya wengi. Sasa naelekea uzeeni nimejikuta nawakumbuka watoto wa watu walionipenda.
Yaani sasa hivi market imejaa idiots, kila mtu namwona hafai.
Nimewakumbuka sana mabinti hawa walionyesha mapenzi ya dhati bila kujali hali yangu ya kiuchumi. Wachache tukikutana siku hizi huwa waniangalia na yale ya macho ya kunisuta, ni kama wanasema why? halafu karibu wote ni wake za watu sasa. Yaani nafsi inanisuta.
 
Back
Top Bottom