Recent content by Blueband

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ziwaache YANGA na SIMBA

    We uko sawa k Akose pesa ya kununulia ndala,akatae mil 100?....akili za kuambiwa hizi ngoja nichanganye....
  2. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ziwaache YANGA na SIMBA

    Acha kulishwa maneno,kuna kitu gani cha ajabu katika hiyo mikataba?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mchina amenakili Range Rover Evoque na kuiita yake Land Wind

    haaahahahahahahahahahahahahahaaaaaaa naipenda jf siondoki
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma apelekwe vyuo vikuu kufundisha Ujasiriamali

    Wewe nawe uko sawa kweli? Hivi huoni kwamba alikuwa anafanya wizi,ulanguzi na uhujumi uchumi? yaani unataka akafundishe watoto wetu wizi wa kuweka pesa kwenye soksi halafu anajifunga tumboni na kuvaa tishirt kubwa na kuvuka mipaka yetu bila kukamatwa? Mbona hicho alichokuwa anafanya ndo vilevile...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania

    Nauliza tu: Hivi gharama za uchakavu watalipia shilingi ngapi?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema afikishwa mahakama Kuu kanda ya Arusha, apata dhamana

    Hivi ndugu yangu huyu mami anawaza akifunga watu wote anaowaongoza yeye atabaki kuwa raisi wa nani? manake najuwa tukiisha wote atawafunga hata mkewe na wanae..."....dhambi ya kula nyama ya mtu huwezi kuacha ....".by Mwalimu Nyerere
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bruno Kims aliyefungwa kwa kufurahia mauaji polisi Stakishari atoa pole Vikindu

    Well said bro. Unajua katika nchi hii hapa ndo mimi nasema hatutaweza kugundua mambo ya maana,unakuta kuna mkulima huko mbuga za wanyama anatengeneza mabunduki na mabomu ya kuwindia wanyama halafu wanakamata wanapiga wee mwisho wa siku wanafunga gerezani...ningekuwa mimi napeleka jeshini...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

    Nahisi ni mojawapo ya zilizoibiwa kwenye hilo tukio mkuu,huyu jamaa ahojiwe...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni aungana na Meya wa Jiji kumpinga Makonda

    Malafyale nisaidie;eti mwehu na chizi wakikaa kwa chumba moja itakuwa aje
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kodi kwenye vifa vya ujenzi katika bajeti ya 2016/17

    Usiwe nahofu Usiwe na hofu, huu ndo muda wa kujenga maghorofa kabisa, we tulia uone baada ya mwaka
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwambusi, Yanga ni timu kubwa, kula kwenye VIHOTEL UCHWARA kunakupunguzia heshima yako

    Chapati za kaduguda mlishamlipa hela yake? dogo umeingia Dar mwaka gani mbona mjuaji sana?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Unapiga hatua mbili mbele,unarudi nyuma hatua tano

    Kwa sababu anawaza mashetanimashetani tu....
  13. B

    JamiiForums Tanzania Unapiga hatua mbili mbele,unarudi nyuma hatua tano

    ....Anataka wenye maisha mazuri nao waishi kama shetani.....(makofi na vigelegele)
  14. B

    JamiiForums Tanzania TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

    We mleta uzi hebu pitia tena hadithi yako kwa kuzingatia marekebisho katika wino mzito ili hadithi ilete maana...otherwise hii nyimbo ilishapita muda wake miaka mingi sana....
  15. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Aungama Dhambi ya Warioba

    Labda wanajaribu kufanya ufisadi hadi kwenye mibaraka...
Back
Top Bottom