Unapiga hatua mbili mbele,unarudi nyuma hatua tano

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,015
114,360
1.Najuta kuchukua form
ya kugombea Urais
2.Urais sikupewa na mtu bali nimepewa na
Mungu (sijui ni Mungu yupi maana hakuna Mungu wa mafisadi)
3.Nitaweka hadharani salary slip yangu (Siku zinayoyoma tu)
4.Nimejitoa kafara (sijui
kajitoa kafara kwa nani maana bado anawakingia kifua akina Lugumi na
mafisadi
wenzie)
5.Nimepiga
marufuku
uagizaji wa
sukari toka nje
(matokeo yake
wote
tunayajua)
6.Bunge live
gharama za
shilingi bilioni
nne kwa
mwaka ni
kubwa sana
(Mbio za
mwenge
gharama ni
120 billion)
7.Nchi
imeharibiwa
na Wazee (Yeye
alikuwemo
ndani ya
serikali kwa
zaidi ya miaka
2o huku
kapiga kimya
"akifanya
yake")
 
Mtu anasema wazi hakudhamiria wala kuwahi fikiri atakua rais then watu bado wanategemea makubwa kwake really?

mtu anakiri kazi ni ngumu na anajuta kuipata bado anashangiliwa? Hivi ktk corporate world mtu wa hivi unaweza mpa management?

Yetu macho.......
 
Jamani vumilieni tu hii miaka 10. Maana kulia lia hakutabadili kitu.
 
huyu jamaa angekuwa somewhere kaishafutwa kazi yaa i et.SIKUFIKIRIA KUWA RAIS. kwa hiyo hatakuwa na presha ya kuwatumikia watanzania kwasababu akutegea.

swissme
 
Jamani vumilieni tu hii miaka 10. Maana kulia lia hakutabadili kitu.
Naona kipindi chako kimepita hata ya bundle inakuwa mtihani.
Lile ombi la JK kwa Pombe awaangalie vijana wake46 lilipita hewani tu nini?
 
1.Najuta kuchukua form
ya kugombea Urais
2.Urais sikupewa na mtu bali nimepewa na
Mungu (sijui ni Mungu yupi maana hakuna Mungu wa mafisadi)
3.Nitaweka hadharani salary slip yangu (Siku zinayoyoma tu)
4.Nimejitoa kafara (sijui
kajitoa kafara kwa nani maana bado anawakingia kifua akina Lugumi na
mafisadi
wenzie)
5.Nimepiga
marufuku
uagizaji wa
sukari toka nje
(matokeo yake
wote
tunayajua)
6.Bunge live
gharama za
shilingi bilioni
nne kwa
mwaka ni
kubwa sana
(Mbio za
mwenge
gharama ni
120 billion)
7.Nchi
imeharibiwa
na Wazee (Yeye
alikuwemo
ndani ya
serikali kwa
zaidi ya miaka
2o huku
kapiga kimya
"akifanya
yake")
Ndiyo kwanza miezi 6 maninaa! Na bado mtaandika sana uharo.
 
1.Najuta kuchukua form
ya kugombea Urais
2.Urais sikupewa na mtu bali nimepewa na
Mungu (sijui ni Mungu yupi maana hakuna Mungu wa mafisadi)
3.Nitaweka hadharani salary slip yangu (Siku zinayoyoma tu)
4.Nimejitoa kafara (sijui
kajitoa kafara kwa nani maana bado anawakingia kifua akina Lugumi na
mafisadi
wenzie)
5.Nimepiga
marufuku
uagizaji wa
sukari toka nje
(matokeo yake
wote
tunayajua)
6.Bunge live
gharama za
shilingi bilioni
nne kwa
mwaka ni
kubwa sana
(Mbio za
mwenge
gharama ni
120 billion)
7.Nchi
imeharibiwa
na Wazee (Yeye
alikuwemo
ndani ya
serikali kwa
zaidi ya miaka
2o huku
kapiga kimya
"akifanya
yake")
Bora huyu kuliko yule mwenye mamvi.
1. Nitaondoa foleni ya dar ndani ya siku sijui 48
2. Nitaondoa foleni ya tunduma ndani ya siku 21
3. Nachukia umasikini, nitawafanya matajiri. Wakati kaongoza wamasai kwa miaka 20 na bado ni masikini wa kutupwa.

Ahadi za danganya toto tena toto lenyewe taahira.
 
Mkuu,acha watz masikini waishi kama mashetani,sie wa kipato cha kati bata linaendelea,na kwa kuwa ndoto zake zisha shindwa,basi kheri!hao watz masikini alio wapa jeuri,acha wajambe jambe!ndio kwanza 6 months,ahahaha!teyari centa bolti ishakata,in four yrs time,gari iitwayo Magufuli itakuwa imepakiwa junk yard ikiwa mkweche!Magufuli arelax,urais wake utakuwa wa 10yrs,,tume ipo!ila mpaka anamaliza kimbelembele atakuwa keshaacha!
 
Kuna haka kawimbo kananikumbusha mbaliiii.....
 
Attachments

  • VID-20160513-WA0012.3gp
    580.3 KB · Views: 42

Similar Discussions

Back
Top Bottom