Bruno Kims aliyefungwa kwa kufurahia mauaji polisi Stakishari atoa pole Vikindu

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
14095919_848065368661676_433502320512492364_n.jpg

===========

Kama mnakumbuka huyu Bruno Kims alipatikana na hatia na kufungwa jela baada ya kufurahia mauaji ya polisi pale Stakishari kwa sasa amenyooka na kujikuta akitoa pole kwa polisi wafiwa.
 
Kwenye vifo uzalendo utulete pamoja maana nchi hii ni yetu sote! Ila kwenye siasa ni ruksa kutofautiana bila kumwaga damu!! Ni uungwana kukubali kukosolewa na kukubali pia unachoambiwa na wapinzani! Lengo ni moja!!
14095919_848065368661676_433502320512492364_n.jpg

===========

Kama mnakumbuka huyu Bruno Kims alipatikana na hatia na kufungwa jela baada ya kufurahia mauaji ya polisi pale Stakishari kwa sasa amenyooka na kujikuta akitoa pole kwa polisi wafiwa.
 
Treason ni pale unapoencourage majambazi kuua raia au polisi,alikosea na kama amejirekebisha basi ni kheri!
Pia isiende upande mmoja,kuna wanaccm wanashabikia vifo vya wapinzani,hasa nikikumbuka kifo cha Kamanda Mawazo!Watu wa namna hiyo wachukuliwe hatua pia!Pia kuna wengine wanawafundisha polisi kazi kwa kuwaelekeza kuua waandamanaji au wanaofanya mikutano kinyume na sheria!Jeshi lina utaratibu wake wa kufanya kazi,watu hawa ni wachochezi nao watolewe mfano!
 
Asingefungwa bali angetumika kama kichokoo cha utafiti wa jinsi jeshi linavyokubalika na wananchi, wangetulia wa kamhoji kiutu angefunguka mengi ambayo yangekuwa msaada mkubwa kwa jeshi la polisi
Well said bro. Unajua katika nchi hii hapa ndo mimi nasema hatutaweza kugundua mambo ya maana,unakuta kuna mkulima huko mbuga za wanyama anatengeneza mabunduki na mabomu ya kuwindia wanyama halafu wanakamata wanapiga wee mwisho wa siku wanafunga gerezani...ningekuwa mimi napeleka jeshini akaboreshe ufundi wake wa kutengeneza hizo silaha ziwe za kisasa zaidi ili siku zijazo tusinunue nje. Akiwa workshop ya jeshi mshahara anapata n.k
 
14095919_848065368661676_433502320512492364_n.jpg

===========

Kama mnakumbuka huyu Bruno Kims alipatikana na hatia na kufungwa jela baada ya kufurahia mauaji ya polisi pale Stakishari kwa sasa amenyooka na kujikuta akitoa pole kwa polisi wafiwa.
Tehehe ehehe kwa ulichoandika hapa, nawaza mbali, huwenda hata Magufuli anaona Mh. Lissu kanyooka kwa kumuita "Mtukufu Raisi" ila hajui kilichopo ndani ya mtima wake.
Wasomi wa picha bila maneno ndio wanajua maana ya alichotuma Mr. Bruno.
Hasa ukizingatia ilo neno la mwisho aliloandika
"Kun faya kun" kila nafsi itaonja mauti.
 
Well said bro. Unajua katika nchi hii hapa ndo mimi nasema hatutaweza kugundua mambo ya maana,unakuta kuna mkulima huko mbuga za wanyama anatengeneza mabunduki na mabomu ya kuwindia wanyama halafu wanakamata wanapiga wee mwisho wa siku wanafunga gerezani...ningekuwa mimi napeleka jeshini akaboreshe ufundi wake wa kutengeneza hizo silaha ziwe za kisasa zaidi ili siku zijazo tusinunue nje. Akiwa workshop ya jeshi mshahara anapata n.k
Turning bad things into positive states in respect of creation n innovation ni slogan ngumu masikioni mwa washika dau
 
Turning bad things into positive states in respect of creation n innovation ni slogan ngumu masikioni mwa washika dau
Juzi nimeangalia documentary flani huko Senegal, mdada anatengeneza ndege ndogo hizi kwaajili ya matumizi ya kilimo, kuvulia Samaki, au kugawa vyakula vya msaada kwa maeneo hatarishi na ni rubani. Huyo sister mpaka anatia moyo mtu kujituma na kuwa mbunifu, ila ukija kwenye mazingira ya Taifa letu ndio mtu unachoka.
 
Baada ya kukaa mahabusu siku kadhaa, msamiati wa dikteta uchwara ulipotea ghafla mdomoni mwa Lissu!
 
Juzi nimeangalia documentary flani huko Senegal, mdada anatengeneza ndege ndogo hizi kwaajili ya matumizi ya kilimo, kuvulia Samaki, au kugawa vyakula vya msaada kwa maeneo hatarishi na ni rubani. Huyo sister mpaka anatia moyo mtu kujituma, ila ukija kwenye mazingira ya Taifa letu ndio mtu unachoka.
Vipaumbele
Fikra yakinifu
Utashi
Utayari wa kutenda
Na mbinu shirikishi kwa kila mwenye kipaji bila mitizamo ya kisiasa
 
Tehehe ehehe kwa ulichoandika hapa, nawaza mbali, huwenda hata Magufuli anaona Mh. Lissu kanyooka kwa kumuita "Mtukufu Raisi" ila hajui kilichopo ndani ya mtima wake.
Wasomi wa picha bila maneno ndio wanajua maana ya alichotuma Mr. Bruno.
Hasa ukizingatia ilo neno la mwisho aliloandika
"Kun faya kun" kila nafsi itaonja mauti.

Kwa kuelewa kwangu "KUN FAYA KUN" Maana yake kila alitakalo Mungu huwa au hutimia.....Soma Surat Yassin aya ya 82
"Hakika amri yake anapo taka kitu ni kukiambia tu: KUWA! NA KIKAWA - 36:82

Kila Nafsi itaonya mauti Ni Aya hii na inasomwa hivi:- Kul Nafsi dhaika tul Mauti.
 
Back
Top Bottom