Labda wanajaribu kufanya ufisadi hadi kwenye mibaraka...Hivi ukiwa kiongozi unatakiwa uwe muumini wa dini zote? Nauliza tu
JF raha sana... ngoja sasa nilale!Mkuu wa wilaya ya Kinondoni,bwana Paul Makonda amesema kitendo cha kufanyiwa vurugu mzee Warioba kimempa umaarufu na kusababisha apewe ukuu wa wilaya.
jf