We uko sawa k
Akose pesa ya kununulia ndala,akatae mil 100?....akili za kuambiwa hizi ngoja nichanganye....Hongera Mohamed Kiganja kwa kumdhibiti Manji aliyetaka kukwapua timu ya Yanga , Hongera Akilimali kwa kukataa rushwa ya mil. 100 .