Recent content by blooms

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali bado tuu wafanyakazi mnawatupa kiasi hicho

    Kinachoendelea bungeni katika bunge LA bajeti wanajijua ccm wenyewe maaana hakuna utetezi wowote juu ya maslahi ya wafanyakazi kazi kushangilia kila jambo Mungu anawaona
  2. B

    JamiiForums Tanzania CCM hili linawahusu, jamaa anawaulieni chama 100%

    Chama kilikufa kwa jk sasa kinazikwa rasmi kwa kifaru
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

    Shidaa ni matapeli Wengi watanzania niwakarimu saaaana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

    Tuendelee kuimba ule wimbo wa marehemu captain komba
  5. B

    JamiiForums Tanzania mkulima aliyetembea kwa mguu kutoka tabora mpaka bukoba kumuona raisi

    Jambo lakushangaza kidogo mkulima wa tumbaku kutoka urambo tabora katembea kwa mguu mpaka bukoba Kwanini Lengo la kumpelekea matatizo ya bodi ya tumbaku.. Mkoani tabora
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Usimwamini mwanasiasa hata kidogo. ..magufuri Yule aliyekuwa akiomba kura kwa Sura ya upole
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali itaajiri walimu 4,000 wa Sayansi na Hisabati hivi karibuni

    Tupo gizani tena kwenye shimo lenye siafu.. .hatujui lini tutatoka na kuona mwanga
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanikiwa 2017 katika maisha achana na tabia hizi

    Kula hovyo hovyo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mistari ya wimbo wa Fid Q sumu

    usiache wewe ni incharge huna spear/ kipaji ka ngwear/kwa mpaji ni ka zawadi aliwagea/flag pepea/alihitaji zaidi ya Maji na mmea…? Ilikuaje wamuache hadi mshkaji ulaji wa drags ukamzoea ..? Ngosha kammisi ngwea.. ..
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mistari ya wimbo wa Fid Q sumu

    Huyu ngosha bado watanzania hawajamuelewa nini anakifanya
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mistari ya wimbo wa Fid Q sumu

    Huo msatari nimeulewa saaaana
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mistari ya wimbo wa Fid Q sumu

    Alieniumba alinipa mdomo hovyo nina haki ya kuongea/ ni bahati nimeotea..safi… Kamwe siachi kuishea/ hamtaki niwe fair…? Trust me.. Me huwa happy niki-care/ na ninaowatouch husema” mshkaji upo smart upstairs / usiache kuongea/ usiache wewe ni incharge huna spear/ kipaji ka ngwear/kwa mpaji ni ka...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka wimbo wa Chidi Benz uitwao 'Mmenisoma?'

    coming!
  14. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA DARASSA

    Ushauri Sio sheria. ...nimekuelewa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Masoudy kipanya Vs Hassan mpangala

    Masoud ni level zingine
Back
Top Bottom