Acha uwongo wewe,ziara ya bukoba imetangazwa lini na yeye kasafiri lini... usitafute kiki za kijingaJambo lakushangaza kidogo mkulima wa tumbaku kutoka urambo tabora katembea kwa mguu mpaka bukoba Kwanini Lengo la kumpelekea matatizo ya bodi ya tumbaku.. Mkoani tabora
Mkuu hebu tupe source of ur information maana unafunguka tu. Nilikua nasikiliza RFA sjasikia kama jamaa kapiga shato pori mpaka BukobaJambo lakushangaza kidogo mkulima wa tumbaku kutoka urambo tabora katembea kwa mguu mpaka bukoba Kwanini Lengo la kumpelekea matatizo ya bodi ya tumbaku.. Mkoani tabora