Mkurugenzi Mtendaji wa Vapper Tech Limited (Jamii Forums) Maxence Melo ametangaza kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi aliyohudumu kwa takribani miaka miwili
Kupitia mitandao yake binafsi ya kijamii Maxence Melo amechapisha taarifa hiyo akieleza kuwa leo...
Kwenye siasa chochote cha weza kutokea na pengine hilo sio kitu cha kushangaza kabisa maana ata akienda TLP haiwezi kubadilisha misingi ya maisha binafsi, siasa ni kama mapenzi waweza fanya chochote ili upate penzi
Mbunge wa Ubungo Said Kubenea anaongea na Waandishi wa habari muda huu.
Baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki kusikiliza shauri la kesi iliyowasilishwa na kampuni ya MwanaHalisi halisi tarehe 21/6 mwaka huu mahakama ilisema Serikali ya tanzania imevunja sheria kwa kufungia gazeti la mseto...
Ndio ipo,, ipo katika sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kifungu cha 177,. Wazembe na wazururaji. Kwanza nianze kuelekea kifungu cha 176 maana vinahisiana kwamba '176:" mtu yeyote akiwa ni muuza kilabu ya pombe, hoteli, bar , duka, chumba au mahali pengine panapofikiwa na watu mara kwa kwa...
Wasalaam wana jf
Haya ni mawazo yangu binafsi na pia ndo mtazamo wangu, pengine nisiwe sawa au nikawa sahihi kwa asilimia kazaa.
Nimeanza kumfuatia Richard mda mrefu sana, nimekuwa nikifuatilia sana mahojiano yake kwenye Tv, radio na mitandao mbalimbali, jamaa Ana ndoto kubwa sana kwenye...
Wanawake wengi siku hizi wamakuwa wanahisi sanaa, kwa hiyo kama nilipata hadija kirahisi, na nikimfuata amina akileta mbwembwe naachana nae
Sent using Jamii Forums mobile app
MWANASHERIA AMSHITAKI MKEWE KWA KUMZALIA WATOTO WENYE SURA MBAYA, NA HAKIMU AMWAGIZA MKE KULIPA FIDIA.
Gazeti la mtandaoni la KINEDA limeripoti habari yenye msisimko wa kipekee, ambapo mwanasheria mmoja aitwaye Jian Feng, amemshitaki mkewe kwa kumzaliwa watoto wenye sura mbaya. Bwana Feng...
Nimesoma humu kuwa Mbunge wa Kilombero na Diwani wa Kata ya Kilombero (CHADEMA) Ndugu Peter Lijualikali amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela. Amehukumiwa kifungo hicho leo hii kwa kosa la kufanya vurugu wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,,, Wapo wanasiasa na wasio wanasiasa ambao wameanza...
Taarifa kutoka Kilombero
Mh Lijuakali Mbunge wa Kilombero amehukumiwa Jela miezi sita.
=======
Habari hii imetumika ktk JamiiLeo
Mbunge wa Kilombero Mh. Peter Lijualikali (CHADEMA) amehukumiwa na Mahakama ya Kilombero kwenda Jela Miezi Sita Bila faini . Alikuwa anakabiliwa na Kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.