Recent content by blackhawk

  1. blackhawk

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

    🤣🤣 mitaa gani hiyo ila machawa 🤣🤣🤣🤣 🚮🚮
  2. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Nalipa kodi TRA zaidi ya milioni tatu kwa mwezi, ni hasira sana ninapokuta umeme umekatika nyumbani

    Huyu anaongea utumbo gani hujii kodi zinalipwa ili iweje ? Au
  3. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kuwa na nini endapo nahitaji kusafiri kwa ndege kwa safari za ndani ya Tanzania?

    Kitambulisho tu mkuu na Ticket yako( cha kura , Taifa au Driving license )
  4. blackhawk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotambulishwa kwenye ulimwengu wa video za ngono, ngono na kujichua kupitia baba yangu bila yeye kujua

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
  5. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Si kwa ubaya lakini naona anguko la Harmonize

    Kitu nnachokiona ni hicho mtu ambae hafi kimziki ni Alikiba pekee
  6. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Lazy time & Unserious

  7. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Makelele ya bandari yameishia wapi?

    Hivi kuna watu bado wanashabikia CCM baada ya mwendazake [emoji3]
  8. blackhawk

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

    Kwa nini alivamia kagera na kwa nn alikua anatesa na kuua watu wake kwenye gereza za la mateso
  9. blackhawk

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank hela zetu nani wanazitoa kwenye account

    Hiyo ni scam umepigwa labda kuna mtu ali copy card details zako akafamyia manunuzi mtandaoni maana card za CRDB zote ni Visa card Zile Card number , CVV na Expiry date unaweza tumia kufanya purchase mtandaoni so mtu yoyote akiwa nazo anaweza tumia card yko Most watu wanafnya hiyo michezo ni...
  10. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Kwa mtaji wa B1 mil 300 ni hela ndogo sana kuongiza kwa mwaka mzima Biashara ya electronics unaweza ingiza faida ya hata 2b kwa mwaka uki invest 1B
  11. blackhawk

    JamiiForums Tanzania How can I get rid of my superiority complex

    Post bila picha ni ngumu kusaidika
  12. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hateui Wanawake wengi na kuwapa nafasi?

    Labda wenye sifa ni wachache
  13. blackhawk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

    Nani anatembea na hela skuizi
  14. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

    LUKU From Unit 28 hadi 23 Mafuta from 1,800 hadi 3,200 USD - low TRA Kodi za makadirio from 2.8 - 3.5% TOZO Kodi za Mabango ya kwenye maduka 1FT - 10k Gharama za maisha i general zimepanda Hata mimi sasa sishawishiki [emoji777][emoji777][emoji777]
  15. blackhawk

    JamiiForums Tanzania PICHA: Maisha miji mingi ni ghali bila sababu za msingi

    Ushasema Tunduma unalinganishaje Dar na Arusha hata bei ya kiwanja tu huko pia ni ndogo kuzidi hii miji mikubwa
Back
Top Bottom