You need to kill ur Ego (ubinafsi) Maisha yanahitaji balance au uwiano kwa kila kitu ...usiishi kimwili sana bila kuishi kiroho and vise versa yake.
Kitu ulichonacho ndani yako ndo huwa kinakuzwa ukiwa Mtu wa chuki ,wivu, kiburi nk Unabidi kujua hivyo vitu vitakuwa ur whole circle itabadilika na kuwa hivyo utakuwa unakutana chuki katika MAISHA yako
Even ukiwa unependa Mafanikio ya watu and you feel better kuona wenzako wanapata success Basi tambua utaanza Kupata Mafanikio na utakutana na watu wenye UPENDO na Mafanikio
So kuwa makini na mawazo yako , Binadamu yupo na nguvu ya uumbaji ukikiongelaa kitu chochote na kukifikiria ndo hicho hicho kitakuzwa kiwe kizuri au kibaya .
So you need to opt Love mpende kila Mtu na mshukuru kila MTU don't feel bitter to anybody stay Positive and grateful. In ur lifetime.