.....Ningemuomba msamaha kwamba nilikosea sana kumpa kura yangu, anisamehe sana!!
Sitorudia kosa wala kuruhusu mtu yeyote ninayemjua kufanya hilo kosa tena.
Mimi binafsi nimeshatosheka nae kabisa....mtu gani anafanya kazi za kila mtu utadhani yeye ndiyo mtanzania pekee, wengine kama wakimbizi tu.
Nahisi hii yote ni kwa sababu ya ukurupukaji, hata kugombea nahisi ilikuwa kama kukurupuka tu.
Haya ngoja tumuone "rais wetu mwema
Ok kwa jinsi nilivyoelewa hapo kuna mchezo.
Most likely hiyo mimba SIO yako....anajaribu kukulazimisha ili pengine apate msaada wa kulelewa mtoto.
La kufanya usimkatalie moja kwa moja bali nenda kwa wakili umueleze ili akuandikie barua uende kwa mkemia mkuu kupima DNA. Nabii tangu lini...
Hii kesi Jaydee amekurupuka kwa kweli, na anaenda kumpa ulaji Gadner asubuhi kweupee.
Mkuu Gadner usikubali hiyo misamaha tafuta Lawyer mzuri hili jambo dogo sana.
Na kama ukihitaji msaada wa aina yoyote plzz usisite.
Kazi za serikali ni kudhalilishana tu sasahivi.
Na cha ajabu mkuu wao anayaona sawa tu huyu mzee sijui vp...
Kwa mwendo huu hii nchi inaweza kumshinda huyu jamaa.
*sifazakijinga*
Ukihukumu kwa staili hiyo kwamba kila ambaye hajavaa nguo 'nyeusi' basi atakuwa kavaa nguo 'nyeupe' utaweka hatiani wengi bila kosa. Kuna rangi nyingi....
Mfumo huu wa Magu sio tu unawaathiri waliokuwa wakwepaji kodi laah hata wale wazuri pia kwa namna moja au nyingine wanaumia.
Hayajakufika...
Tatizo la 'Ngosha' yeye ni mfanyakazi zaidi kuliko kiongozi/mtawala.
Asipoangalia hili linchi linakwenda kumuangukia!!
Watanzania tuko matesoni sasa....
Maamuzi yake saa zingine vichekesho, anaahirisha shereh mbal mbal, anasema pesa peleka sehemu fulani sasa ma 'Financial advisors' wanafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.