Nataka kujua bei nzuri ya samaki Sangara wa Mwanza

BlackGold_

Member
May 31, 2013
94
27
Nina samaki aina ya Sangara wabichi, nimekuwa nauza ila bei zijaridhika nayo kwa wasafirishaji wanaopeleka Dar ....nataka kupata wanunuaji wangu niwe nawatumia mzigo mimi mwenyewe kiasi chochote!! Nijue bei yako...
Natanguliza shukrani!!
 
Mzigo naleta mpaka pale Shekilango!!
Kama Upo Dar.
Maeneo mengine, tutaongea!!
 
Unaanzia kg ngapi kuuza kwa hiyo bei ya 5500 hapo shekilango na nikwa bei ya sangara na sato wote bei moja
 
Back
Top Bottom