Msaada: Vipele vigumu visivyouma wala kuwasha sehemu za siri

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,902
5,923
Vipele sehem za siri.
Haviumi wala kuwasha vina mwezi sasa nashndwa kuvielewa vimetokana.ni vigum gum ivi naombeni msaada
 
kwa siku unaoga Mara ngapi? staphylococcus wamekurudia we mwenyew tumia gentrisone cream kuondoa hiyo
 
Muone dakitari
tena kwa watoto huwa inatokea zaidi kuliko hata kwa watu wazima
tiba- gentrisone cream,tetmosal medicated soap, kisha nguo zote za mgonjwa zilowekwe kwa dettol usiku na kufuliwa asubuhi then mgonjwa ashauriwe kuhusu usafi kama ni mtoto inatakikana aogeshwe kutwa Mara 3 yaani asubuhi anapoamka SAA 6 mchana kabla ya chakula cha mchana na jioni kabla ya kulala
 
Huyo jamaa amuone dk... Kajichafua
 
Back
Top Bottom