Recent content by blackbobu

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuki Simba na Yanga

    Kwa utafiti mdogo tu wenye tabia hizo ni mashabiki waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 kuja mbele Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

    Kuna siku clouds watamsaka watamhoji, hawa watu wanapendaga matukio kama haya,
  3. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hardware kwa mtaji wa mil.7

    Kwa kunzia inatosha kabisa kwa hadware ya kawaida ukimix na vifaa vya umeme, vitasa vya milango misumari size zote, makomeo disk za kukatia chima na vungne vingi vodogo vidogo hadi mtaji ukue
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

    Ogopa sana mkeo akikuzidi ujanja katika sim, atakufanyia vituko utabaki unashangaa tu, na ndicho kilichokukuta, ulifikiri mkeo kilaza wa mambo ya simu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ilitegemewa awe yeye, kwa hiyo haishangazi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyoko kwenye branding na kwa nini unatakiwa kujibrand bila ukomo

    Ebu weka sampuli ya mabango ya mpesa tigo pesa airtel money na halo pesa, nataka unifanyie hiyo kazi kwenye kishop changu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

    Mpeleke dogo veta chap akapate maarifa aje apige pesa, pc ni upotezaji muda na atafeli zaidi,
  8. B

    JamiiForums Tanzania Makato kwa wakala wa M-pesa wakati wa kubadilishana floti

    Mtandao wa kijinga sana huu, Kamisheni zenyewe wanabana halafu wanaleta tena tozo kwa mawakala, unyonyaji mtupu, ebu waache tamaa, wanataka kutumalizia mitaji?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; Nawashukuru Wenyeviti CCM kutetea mikopo walipotokea watu wa Kuhoji

    Ndugai alifikiri yameisha kumbe walaa!! Maza bado anakomaa nae
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Cheti cha jkt sina
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa ku-share eneo la kufanyia biashara

    Yaani wote mshee hizo tigo pesa au? Yaani unaetaka kushea naye awe na fremu ya tigo pesa na wewe uweke tigo pesa ndani ya fremu hiyohiyo halafu mshee kulipa kodi ya fremu? Kwa hiyo namba za wakala zinakuwa mbilimbili? Hamuwezi kupata Faida yakueleweka,
  12. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    Pole sana familia ya masudi kipanya
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Hawajapigana ngumi kweli hao, kwa sababu mimi mwenye nimejikuta nacheka kwa hasira, hao waliofungwa walikuwa wamesimama au?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hii sio kawaida kwa kweli mawakala wa miamala tunaanza kupata maumivu tartibu

    Nawaslimu kwa jina la jamhuri ya muungano. Mitaani hali ya biashara ya miamala inaanza kuwa mbaya, kwa mfano mimi nina kibanda cha mpesa tigo na airtel, kawida huwa nikufungua asubuhi wateja wanakuja kiujumla kunakuwa na ubize flani, wakutoa, wakuweka nawapata sana tu, leo sasa.hali ni tofauti...
Back
Top Bottom