Recent content by Black Rose

  1. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Familia zenye mduara wa talaka……………..!

    atakua ana GUNDU huyo
  2. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Kwanini spika anazima hoja ya kujadili mgogoro wa Madaktari?

    Ishu ya madokta ina usiri gani? Mh Erasto ZAMBI akataka swala hili nyeti lijadiliwe.Spika kakataa na kawa mkali kama Mbogo
  3. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Mikopo ndani ya Ndoa

    Tusijadili hii ishu kwa wepesi sana. Ndani ya ndoa kuna mgawanyo wa majukumu na kila mwanandoa huwajibika. Ikitokea mke/mume anataka pesa za kutimiza yale majukumu yake au anataka pesa kwa kitu fulani, kuna namna mbalimbali za kupata uwezesho kutoka kwa mwenziwe.Mimi kwa mfano, nikihitaji pesa...
  4. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    HEHEHEHH ..sipati picha jinsi Mh Maua Daktari atakavyotibu baada ya kutoku practice kwa miaka yote akiwa siasani! Mi wala sitathubutu anitibu.Ni bora ni google kisha nikajinunulie dawa!
  5. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Magwiji mmu na multi-id's

    Nimependa sana ufafanuzi wako. Hebu tuambie mwenzetu, zakwako nyingine ni zipi maana umehitimisha vizuri sana kama "mnufaika" wa huo mkakati.
  6. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Picha na maelezo: Kikao cha Marafiki Wa Regia BC

    Ikimaanisha nini Mkuu?Nimesoma na kurudia tena na tena sijakuelewa kabisa.
  7. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Huge Gas Deposits Found

    Kichwa cha mwendawazimu siku zote huchezewa na kila mtu
  8. Black Rose

    JamiiForums Tanzania JF na nicknames.......

    Yeah I got it loud and clear and that's why asked I why would "Lady MS" be nicknamed "Yusuf Makamba"? Refer to what was said by the person I quoted.
  9. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??

    hehehhe poleee..wenzio baada ya kuolewa yalipungua hadi tunajiuliza kulikoni!?
  10. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    Na je mkikutana, chemistry ikakataa itakuwaje?
  11. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wakataa Kuunga Mkono hoja ya Kujadili Mgomo wa Madaktari

    Watanzania tunavuna tulichopanda wala tusione vibaya kwa hili lililotokea leo Bungeni.Kwani hao wabunge waliingiaje bungeni? Si walichaguliwa na wananchi? Je wananchi wanaokufa kwa kukosa huduma kwa vile madaktari wameweka mguu chini kudai haki zao, mbele ya Wabunge wana thamani gani? Mimi...
  12. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Madaktari 38 waondoka nchini

    Hivi, waheshimiwa wataacha kupokea allowances kwenye mikutano na asasi za kiraia, donors na wengine wanaoenda Dodoma kila vikao vya Bunge vikiendelea au ? 330,000/= jumlisha na hizo allowances nyingine...mhhh! Ubunge unalipa asikuambie mtu!
  13. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Madaktari 38 waondoka nchini

    wanapoenda dukani kununua mahitaji hakuna anayewapa "ruzuku" Wanapotakiwa kulipa kodi za nyumba hakuna anayejitolea kuwahifadhi bure Wanapotakiwa kusomesha watoto wao, hakuna ruzuku ya daktari!
  14. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Madaktari 38 waondoka nchini

    Tutaishia kuwasomesha na kuwanyanyasa, kwa ajili ya matumizi ya wengine ... Sijui hii ni principle ipi kwenye "uwekezaji" Tutavuna tulichopanda.
  15. Black Rose

    JamiiForums Tanzania Hili nimepata kulifanya nikiwa mdogo..

    Inatuonyesha chimbuko la kuharibika kwa maadili siku hizi.Watu wameanza ufirauni toka wakiwa makinda hata hawajajua dunia inaenda wapi!
Back
Top Bottom