Recent content by Black jew

  1. Black jew

    Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

    HB taikon wa fasihi utu uzima raha saana.
  2. Black jew

    Bongo movie wapi mnakwama?

    Hamna waandish hoolwood script ni siri na unakuwa hujui next season nini kinakuja kama ndo mkatab unaisha wakat wa kipind cha kusoma kabla kwenda kushoot ndo unajua kuwa we mwish wak ndo hap unauliwa mamb yanasonga. Mfano JUAKALI WANABADILI WAHUSIKA WAKAT KWENY SERIES INAITWA SUIT KUNA DADA...
  3. Black jew

    Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

    Haya yalikiwa kweny kila kona na daladala miaka ya 2000s
  4. Black jew

    Nasikia kumbe ukiwa Mtu wa CIA, MOSSAD na FSB unaongezewa 'Senses' zingine Mbili ili uwe Hatari Kiujasusi / Kinjagu je, ni zipi hizo?

    Mnaleta mamb ya bing bang theory sio,, mwish mtatiambia vorcanic eruption inaweza jenga nyumba. Once ur created and born its over no more brain modification kwan Ubongo wa mwanadam ndo zawad kutoka kwa Mungu.
  5. Black jew

    Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

    Nkuulize kitu mpesya alikuwa mbunge kwa zaid ya miaka kumi alifanya nini?? Arusha lema alikuwa mbunge lakin kuna barabara balaaa mpaka vichochiron huk sombetin kuna lami. Swala sio mbunge wala nini ni kwasababu huk kuna serikalin kuna wanyakyusa weng lakin wote wanajifanya DAR NDO KWAOO...
  6. Black jew

    Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

    UKienda ofis za ardh mbeya wanasema viwanja vya kupima vipo nsalaga bei ya square meter 5000/= xawa alaf nsalaga ni mbli alaf IKOLOTI, IGANZO YA JUU, WANAPOCHIMBA KIFUS AMBAPO NI KARIB NA MJI YAAN MWANJELWA kipande cha ardh ya kujenga vyumba vitatu kinauzwa laki 9 au ikizid 1.5 kun mapagar yapo...
  7. Black jew

    Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Vyanzo kidatu, mtera vyq vya mito yako ni nyqnda za juu kusin lakin kumbuken mwaka jan nyqnda za juu kusin mvua zilinyesha za kutosha ila maji yalimwagwa MAKUSUDI SO KAZ KWENU NA HUK MVUA BADO MPAKA JANUARY NDO ZINACHANGANYA HIVYO MPAKA MWEZ WA TATU NDO VYANZO VITAJAAA
  8. Black jew

    Kwanini members wengi wa Jamiiforums wanakumbwa na visanga na matukio makubwa?

    Wanatunga xanaa we ukitaka kujua kuwa ni watunzi angalia majina wanayotumia hum mi nkiona "shemeji anakuja na taulo chumban kwang"najua ehee huwa sisomi
  9. Black jew

    Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

    21 tim ya taifa inacheza 24 19:00 EST mnatkiwa muwe uwanjan aljeria vp na huk nako TFF wamepanga ratiba???
  10. Black jew

    Founder na aliekua CEO wa Open AI (chatGPT) Sam Altman amafukuzwa kazi na management

    Tetesi nikuwa Kuna twitt za 2022 ambazo zinasemekana ni za dada yake kuwa alikiwa ana mtomasa tomasa wakiwa wadog ye altman akiwa na 13 na mdog wake wa kike akiwa na 4 . Sasa wanahisa wake wansema hakuwambia ukweli kama alikiwa na kit kama hivho ndo imebid achie ngaz. GOOD NEWS NI kuwa hisa...
  11. Black jew

    Sababu za TPLB kusogeza mbele Mechi ya Simba na Azam kutoka Novemba 28, 2023 hadi Jan 1, 2024 hazijaniingia akilini

    Kama kuna wat NYOTA za uongizi zao haziendan na simba basi kaz tunayo hii hali ya SIMBA inankumbusha STORI MOM ALIWAH NAMBIA WAKAT NKO SHULE(BOARDING) Alipata mfanyakaz wa kuhudumia kuku akaingiza kuku 700 unambiwa walianza kuumwa wakaanza kufa wakafa aliwapa kila aiana ya dawa lakin wap...
  12. Black jew

    Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

    Wat wanaanzia mkoan wanajidunduliza kwa kulima kugunguq bishara za mitaj midog ikikuwa wanakimbilia dar wanatajilika. Na asilimia kibwa ya ya waliopo kariakoo wanatoka mikoana kwan kuanzia dar moja kwa moja ni kaz kwan mtu anahamia dar pale anakiwa angalau ana million 100 so maisha...
  13. Black jew

    DP World imebuma, EU kujenga Transafrika Corridor kuunganisha Kongo na Zambia with Lobito Angola Harbor!

    70% ya migod yote ya cobalty iliyopp congo inamailikiwa na CHINA. Sasa sijui wao watasafirisha nini na madin yote na maligafi nyingine ambazo zinatoa rare earth minerals zinapelekwa china kwa ajili ya processing. NA china naye ana mpango wa kuunganisha reli kutoka kapir mposh mpaka lobito. Jua...
  14. Black jew

    Mechi ya Coast vs Mashujaa refa alikuwa kiongozi wa kupoteza muda

    Mechi ya hiy tajwa inaonesha bado tunasafar ndefu ya kumakiza tatizo la mpira uchweze zaid na kupunguza kusimama bila sababu na mech ya leo mwamazi aliongoza hiloo. Kil ikitokea faul alikuwa anachukua muda mrefu kutoa maelezo mengi na kupoza mpira na kama kungekuwa na stop watch bas mpira...
Back
Top Bottom