Recent content by Blac kid

  1. B

    JamiiForums Tanzania Shaka: Tulikotoka ni kuzuri, tuliko ni kuzuri zaidi, tunakokwenda kila mtu atafurahi zaidi ya leo

    Tumetoka pazuri kwenye uhakika wa umeme, sasa tuko pazuri zaidi penye mgao wa umeme!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Aliyefukua box za vigae ili kupata fuko LA hela ni jipe? Je angefanya kazi zote kwa mpigo amdhibiti magige na hapohapo afukue fuko la hela?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huyu member anayejiita UMUGHAKA anatakiwa apewe tuzo ya utunzi wa hadithi

    Vile umughaka alivyomfanya mzee makono.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi zilikupelekea ukawa shabiki wa hiyo timu yako ya sasa pale Uingereza?

    Kama ujuavyo wabongo wengi tunavutiwa na maniga wanaokipiga ulaya, mie bana world cup 2002, nilikuwa bega kwa bega na Senegal wakiwa na star wao mtukutu ostaz el haji diof, nilvutiwa na jinsi walivomtoa nishai bingwa mtetezi, sasa Liverpool walivomsaini yule kiboko ya wazungu basi tangu siku ile...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naapa kujiua

    Ukifika huko wasalimie miamba wa tz, msalimie mwl nyerere, msalimie nkapa na dk hayati magufuli.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Vile umughaka alivyomfanya mzee makono
  7. B

    JamiiForums Tanzania Haya madini yanafanya kazi gani kubwa, mpaka kupewa thamani kubwa?

    Kiwe na matumizi nazani umeweka kazi ya hayo madini na ni nadra kupatikana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Haya madini yanafanya kazi gani kubwa, mpaka kupewa thamani kubwa?

    Hayapatikani kiurahisi ndo thamani yake kubwa inapokuja
  9. B

    JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

    Sisi polisi hatuwezi kuhangaika na mpumbavu anayeshoboka na wake za watu, yaani ni sawa na kibaka akaibe kwenye kibanda cha wauza petrol, wakimpiga kiberiti sie hatuwezi kubugudhi wauza petrol!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

    Akichepuka Ila asizae nje ni ruksa tu eti?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

    Kalyinda ni mtoa marinda
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

    Katibu alipaswa kufahamu mke wa mtu ni sumu, kuua ni kosa kisheria lkn kwa hili la masanja, familia ya katibu na vyombo vya sheria wanakuwa wazito kumpambania katibu make ni kama kifo alikitafuta kwa kujitakia, pengine wa kushikilia bango kumtia hatiani comedian, wanajaribu kuvaa viatu vya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ngoja tuone kama Saudi Arabia itaendeleza uthubutu iliyouashiria kwa kugomea matakwa ya Marekani

    Musaba na watch hundred wapo tayari kuchimba mafuta mengi bila kulazimishwa why biden anahangaika na huyu mwarabu wa Saudi?
Back
Top Bottom