Recent content by bishoke

  1. bishoke

    CCM ikichagua mgombea kutoka Z'bar itaanguka!

    Du, kumbe twaweza kutawaliwa na mtu toka ng'ambo katika karne hii.
  2. bishoke

    Upanuzi wa barabara Mwanza

    Kumbe kweli eti no research no right to speak!!!
  3. bishoke

    Team Wasira ni Noma

    Mbona husemi kuwa ni mwana chama wa CCM asiye na msimamo kwani alisha timkia upinzani, au hiyo ni siri?
  4. bishoke

    Huyu ndiye askofu Gwajima ninayemfahamu, Wakristo jihadharini naye

    Usihukumu usije ukahukumiwa, maandiko yanasema. Unaweza kuthibitisha matamshi yako hayo?
  5. bishoke

    Burundi President says third term will be his last

    Ni wananchi wangapi hawamtaki Bwana Pierre? Mleta uzi kasema waandamanaji wako Bujumbura peke yake, sasa wananchi wa Burundi si zaidi ya Bujumbura, naamini warundi wataamua, kama hawamtaki si wataacha kumchagua, shida iko wapi. Watulizane kwani tumechoka kuhifadhi wakimbizi bwana
  6. bishoke

    Madereva 15 wa Daladala na Mabasi ya Mikoani wafukuzwa kazi

    Kumbuka kazi mbaya unayo, sasa imeondoka waliofukuzwa wanatamani waifanye hata bila ya mkataba. Wakati mwingine migimo ni mob psychology tu. Sijui kama serikali ndiyo mwajiri wa wale madereva au walitakiwa kuwagomea waajiri wao!!:tonguez::tonguez::tonguez:
  7. bishoke

    Tutasambaratisha CUF na kuteka mikoa ya Pwani - Mwigamba

    Kumbe ACT siyo chama cha upinzani! Inashangaza na kutia shaka kuona ACT inavyopambana na vyama vya upinzani badala ya chama tawala!
  8. bishoke

    NEC: Kura ya maoni ya Katiba Mpya kusogezwa mbele

    Hawa nao wanachosha kwanini wasisubiri mpaka watakapo kuwa tayari kuandiskisha wapiga kura? Kama vipi waunganishe na uchaguzi mkuu Oktoba 2015. Tumechoka kuahirisha kaura hii ya maoni.
  9. bishoke

    Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Jamani tabia haina dawa, mwacheni kwani ndivyo alivyo
  10. bishoke

    Tanzania yapunguza safari za Kenya Airways

    Mtajua wenyewe kama ni kwa faida ya nani au nani !!!
  11. bishoke

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Nimekukubali mkubwa. Naamini haya ndiyo matumizi sahihi ya hii kitu
  12. bishoke

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Maelezo yako ni mazuri sana mkuu lakini nadhani ungesema unaongelea gari gani kwani magari yote hayana tabia zonazo fanana kuhusu O/D.
  13. bishoke

    Hostel/Rest house zenye bei nafuu Arusha

    Wana jamvi mlioko Arusha, naombeni msaada wa majina ya hostel au rest house nzuri na zenye bei nafuu hapo Arusha mjini ambazo zinafaa kuishi mgeni wa Kitanzania. Lengo ni kujaribu kupunguza gharama za kuishi hotel za Arusha mjini, jamaa yangu awapo Arusha. Nashukuru sana
Back
Top Bottom