Unajua ina upana wa mita ngapi? Au una panua panua mdomo tu?
Barabara ya Bugando mwisho wake ni VOIL. Haya sema kwa sasa inatumiwa na magari yapi kwa sasa? Nenda Pale Mwanza Sec hadi maeneo ya Bugando Hill-ni miamba pande zote na kona kali. Na hii imelazimu barabara hiyo kuwa finyu.
Pia ile barabara inapita ktk hifadhi ya eneo la Roman Catholic Church. Huwezi kujiamulia kupitisha magari au kupanua zaidi, make ujenzi wake usikute ulifadhiliwa na wahisani(donors) wao na si serikali.
Sema kuna barabara zipi kubwa za kutoa magari kati ya mji kwenda nje ya mji?
Hapa hakuna siasa!
Naona unatoa matusi wakati mm lengo langu ni kuisaidia Wizara husika kujipanga mapema.
Puñguza Viroba, na kama una upungufu wa Elimu mwilini, soma vyuo ni vingi sana.
Kaka uko vizuri sana.Mainjinia wa tz ni wapiga pesa tu hawana plan na hawawashauri vzr wanasiasa wetu.unakuta injinia ameaomea secondary sengerema chuo akaenda udsm ajira nyanza rd unadhani atakuja na lipi jipya kichwani kwake? Fly over wanaziona kwenye TV hajui hata zina umuhimu gani.Ukiwauliza utaambiwa ni garama sana kujenga flyover kumbe haina garama yoyote ukikinganusha na adha ya kulala kwenye foleni.Jamani tuisaidie nchi yetu kwa taluma zetu
Yaani watu wanadiscus ishu za maana jitu lingine linaleta siasa za kijinga kisa linakaa mwanza
Kama unakaa mwanza so what? Tunaongea hoja za maana kama huwezi kuchangia kaa kimya sio kuleta upuuzi eti ooh huijui mwanza...wote wanaochangia hii thread wana uchungu na nchi yao na mwanza ni mji mkubwa baada ya dar.kero za dar hatutaki zije mwanza ndo maana tunajadili nn kifanyike
Tubadilikeni watz tunatia aibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.