Hostel/Rest house zenye bei nafuu Arusha

bishoke

JF-Expert Member
Jan 12, 2010
275
0
Wana jamvi mlioko Arusha, naombeni msaada wa majina ya hostel au rest house nzuri na zenye bei nafuu hapo Arusha mjini ambazo zinafaa kuishi mgeni wa Kitanzania. Lengo ni kujaribu kupunguza gharama za kuishi hotel za Arusha mjini, jamaa yangu awapo Arusha. Nashukuru sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom