bishoke
JF-Expert Member
- Jan 12, 2010
- 274
- 52
Wananchi hawakutaki sasa utang'ang'aniaje kuwaongoza hata kama una haki.
Aondoke tuu bana watu watulie maana machafuko yamefika pabaya sasa.
Ni wananchi wangapi hawamtaki Bwana Pierre? Mleta uzi kasema waandamanaji wako Bujumbura peke yake, sasa wananchi wa Burundi si zaidi ya Bujumbura, naamini warundi wataamua, kama hawamtaki si wataacha kumchagua, shida iko wapi. Watulizane kwani tumechoka kuhifadhi wakimbizi bwana