CCM ikichagua mgombea kutoka Z'bar itaanguka!

CCM ikichagua mgombea kutoka Z'bar itaanguka!

SERGIO

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
348
Reaction score
147
Zanzibar hivi sasa ni nchi kamili, kwa mujibu wa katiba yake. Hivyo Watanganyika (bara) wanaichukulia Zanzibar kama nchi jirani. Kwa mantiki hiyo haitakuwa rahisi kwa mgombea kutoka nchi jirani ya Zanzibar, hata awe na sifa zote, kushinda kura katika uchaguzi huru na haki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni wazi kabisa arrogance ya wazanzibari ndio inayowaponza. Hapa haitakuwa suala la ubaguzi, bali ni ukweli mtupu kwamba watanganyika hawawezi kukubali kuongozwa na mtu kutoka nchi nyingine! Hivyo, kama CCM wanamfikiria Jaji Ramadhani kupeperusha bendera yao itakula kwao.
 
Du, kumbe twaweza kutawaliwa na mtu toka ng'ambo katika karne hii.
 
Zanzibar wana serikali yao na katiba yao kanchi kenyewe kadogo,ndiyo na raisi wetu atoke huko tena?
 
Mbona mnaweweseka?!!! leo ndio mmeliona hilo, wakati lisu anapiga kelele, mnamuita kichaa!! leo kuna mgombea ambaye anatishia harakati za mgombea wenu, ndio mnaanza kuleta hizi hoja!!! bora walete mtu safi kidogo ambaye kidogo, kuliko lile chafu ambalo hata steal wire, contena zima halitakati.
 
Ni dhahiri sasa wanaccm na watanzania wameanza kuumiza vichwa juu ya nani hasa anaweza kupeperusha bendera ya ccm kati ya Makongoro na Ramadhan ukizingatia yafuatayo:

1 Uzoefu wa kisiasa

2 Kujulikana na wananchi

3 Uzoefu Kimataifa

4 VITA DHIDI YA MAFISADI

5 Kusikilizwa na kuheshimiwa na jamii iliyokosa ustaarabu.

6 Uwenyekiti wa CCM

7 Kukubalika na baadhi ya Ukawa

8 Fitina na hekaheka za kisiasa

9 Shutuma dhidi ya mfumo uliopo

10 Heshima ya Wazee wetu waasis wa Taifa.


kwangu mimi Makongoro atamzidi Ramadhan.
 
Ningumu million 5 kushinda 43 wasiposoma alama za nyakati name siasa za so zilizompeleka mwinyi madarakani,itakura kwao.
 
Nasikia Ramadhani alipendekezwa na watu wa system je watashinda maamuzi ya wanachi? Watawasumbua polisi bure
 
Nasikia Ramadhani alipendekezwa na watu wa system je watashinda maamuzi ya wanachi? Watawasumbua polisi bure
 
Team Lowassa mtazusha sana. Mgonjwa wenu hataiona ikulu. Na ni kwa faida yake hata hivyo maana angekufa tu. Ramadhan atatawala na kuiua ukawa feki, nchi itarudi kuwa moja baada ya Kikwete kuivuruga
 
siwezi unga mkono nchi yangu tanganyika kutawaliwa na wageni kamwe. wazanzibar wana rais wao anajulikana..
 
Watu hao wa system wakae mbali kwani kama unafiki huo wa udugu wa zbar na tanganyika ungeanzia awamu inyoishia sasa sio hii ilikuwa haram kwa wengine ndio halali msingi uleule uliotumika kutopokezana 2005 hiyo hiyo itumike sasa baaaasi!
 
usiwastue waache
SERGIO tatizo ni kuzaliwa pale Zanzibar au kosa ni lipi?
Mama yake mzazi kazikwa Kimara King'ong'o DSM
Augustino yeye kasomea Mpwapwa na Tabora
kwa hiyo bado ni Mtanzania wa bara km kina Adam Mwakanjuki, Mwinyi Edington Kisasi na wengineo

Nimezaliwa Desemba 28, mwaka 1945 Zanzibar mjini nikiwa ni mtoto wa pili kati ya watoto wanane, wa kike wanne na wanaume wanne. Ni Mkristo wa dhehebu la Anglikana.-

Nimesoma shule mbalimbali za msingi Mpwapwa mkoani Dodoma 1952 -1953 nikaenda Town School-Tabora nikasoma darasa la tatu hadi la nne mwaka 1954-1956 na darasa la sita na saba nilisoma Kazel Hill sasa inatwa Shule ya Msingi Itetemia mwaka 1957-1958. Na darasa la nane tu mwaka 1959 nikarudi kusoma Mpwawa.

Mwaka 1960-1965 nilijiunga na Tabora School kwa ajili ya masomo ya kidato cha kwanza hadi cha sita. Kwakuwa nilifaulu nilichaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1966, na nilisoma shahada yangu ya Sheria na ilipofika Machi 1970 nilihitimu masomo.
Na mwishoni mwa Machi mwaka huo huo wa 1970 nikajiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),
usije shangaa ikatoka Historia ya Wazazi walienda Zenj kikazi na CCM ikapeta
Mm bado niko kwa Makongoro
ninyi mnaomtegemea Lowassakuipeperusha bendera tafuteni dawa mapema za kutuliza maumivu maana mmezunguka sana na matumaini yenu na miaka mingi
 
Hatuwezi kuongozwa na watu wa pwani tena, wapo urojo urojo sana, tunataka watu steel kutoka kaskazini au Kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom