Recent content by Bintiwangara

  1. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Hongera Askofu Mark Malegana wa Kanisa la Sabato

    Mgeni Rasmi alikuwa nani?
  2. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Mwanaharamu wa Kisiasa (Riwaya)

    m mpaka lini kaka? Tusimulizie sehemu zingine
  3. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Mwanaharamu wa Kisiasa (Riwaya)

    mbona kimya mpaka leo, au sehemu nyingine utaendelea lini?
  4. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa kiromo bagamoyo

    *SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA* Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3 mpaka kwenye eneo husika.Eneo linafaa pia kwa kuishi..mifugo na kilimo.kipo kwenye makazi...
  5. Bintiwangara

  6. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Trump amfukuza kazi Waziri wa mambo ya nje Rex Tillerson, amteua Mike Pompeo kuchukua nafasi yake

    Nyani Ngabu hii siyo breaking news, ina masaa 48 sasa. umekopi na kupest hata gazeti la mwananchi linalotoka tarehe 13 , taarfa ipo
  7. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Mwanaharamu wa Kisiasa (Riwaya)

    mb mbona kimya, leo si ndiyo jumatatu?
  8. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Wale mnaotaka magari used kwa bei nafuu karibuni sana

    tupia picha za ndani ya gari, bolnet kila kitu
  9. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninaendelea vizuri na matibabu

    ubarikiwe sana, Mungu ashukuriwe
  10. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Mwanaharamu wa Kisiasa (Riwaya)

    DAAA, UNATISHA, SASA CHRIS ATAPONA KWELI?
  11. Bintiwangara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga Abadilisha Mwelekeo wa Siasa wa Kenya

    SIASA SI UBAGUZI, SIASA NI MAELEWANO
  12. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa hili suala la Yanga kuhusishwa na Rushwa ushindi mechi ya Kagera Lifuatiliwe kwa Umakini

    achane wivu, na unafiki, acheni kutengeneza maneno, mech yenu na mbao, kwa hiyo muliwahonga mbao?
  13. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Hii michezo ya "bingo" mbona sasa too much?

    Vyuma vimekaza, biashara zingine ni ngumu kuziendesha , lakini bahati nasimu ni Raisi mno. ukiwa na laptop tu. umemaliza kazi.
  14. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Eneo Heka 4- kuuzwa kiromo-Bagamaoyo

    Eneo lipo kiromo bagamoyo , upande wa kushoto( upande wa shule ya kiromo) kama unaenda bagamoyo mjini. ni km 3 kutoka barabarani. ni Heka 4. Eneo linafaa kwa ufugaji, ujenzi wa shule, Kujenga Nyumba na kuishi, na shughuli zingine za maendeleo. Umeme na maji vinapatikana. Bei ni Milion 29...
  15. Bintiwangara

    JamiiForums Tanzania Qualifications zipi za kupangiwa shule za vipaji kwa kidato cha tano na sita?

    tatizo siyo one ya ngapi, je kwenye comb una A tatu?
Back
Top Bottom