Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
Eneo lipo kiromo bagamoyo , upande wa kushoto( upande wa shule ya kiromo) kama unaenda bagamoyo mjini. ni km 3 kutoka barabarani. ni Heka 4. Eneo linafaa kwa ufugaji, ujenzi wa shule, Kujenga Nyumba na kuishi, na shughuli zingine za maendeleo. Umeme na maji vinapatikana.
Bei ni Milion 29, maongezi yapo. Kwa mtu serious anayehitaji anaweza nicheki kwenye namba hii.0753189283.au akaja inbox. TUNAWEZA LIPANA KWA INSTALL MENTS- maxmamum installments ni mbili Tu.
Bei ni Milion 29, maongezi yapo. Kwa mtu serious anayehitaji anaweza nicheki kwenye namba hii.0753189283.au akaja inbox. TUNAWEZA LIPANA KWA INSTALL MENTS- maxmamum installments ni mbili Tu.