Recent content by binti faby

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Lugalo sekondari nini kinaendelea? TAMISEMI na Wizara ya Elimu mko wapi?

    Kukushauri tu labda ufwatilie risiti hao walimu sio wajinga mpaka wakakupiga faini..halafu ww unasema kosa dogo hujui kosa dogo ndio laweza sababisha mtoto akafeli? Kutokuhudhuria class ni kosa kubwa sana.wacha kumtetea mwanao..mm nimesoma hapo lugalo 2013, huyo mwanao atakuwa A.level.. miaka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

    Wengi sana wanakoment negative kuhusu zuhura ...mara umri umeenda, mara magauni ya kiislamu mabaya, ndoa ni jambo la heri kabisa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayeweza kuniunganisha na masoko ya mbao DSM bila dalali

    Nifwate inbox tuyajenge nikusaidie mi nimzoefu wa hayo mambo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mizimu na madhababu za Ukoo inatesa Maisha yangu

    Pole sana sijui nikushaurije ila mwombe Mungu akusaidie sana...unaweza kukimbilia kwa watumishi wakubwa kumbe hata yule mchungaji wa hapo kijijini kwenu anaweza kukusaidia vizuri tu. Ushauri wangu mtafutane ndugu mkae chini mjadiliane na kisha nyie wenyewe ndio mumwombe Mungu kwa pamoja na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane zile "SCHOOL MOTTOS"

    School Motto..Hakuna haki bila wajibu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

    Dawa ya kikwapa ni limao ukipaka tu hutosikia ile harufu tena..unakuwa natural
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Mbona ni kama wewe ndio umeolewa...hao kina Mura watakunyoosha mpaka ukome...mtoto wa 98 anakutukana halafu unamwachia kirahisirahisi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nina hakika hili lilishakutokea hata wewe

    Hii stori imeniumiza sana...Mungu atusaidie tuwakumbuke yatima na wasiojiweza..Mungu ambariki sana huyo baba
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Bado yupo na yule mwanamke wake? Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

    Wanyakyusa wengi ni walokole.....kwanza kumwombea mnyakyusa pepo alipuke sio rahisi ni shughuli kweli kweli kwasababu wengi wao wanasumbuliwa na mapepo ya mamizimu hayatokagi kizembe ndio maana watumishi wa kule wamesimama...wanyakyusa wanamazindiko makubwa ndio maana mizimu yao ni mikali...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

    Mbona unatoa povu sana...umaskini wake yeye unakupunguzia nini kwani au kukuongezea nini? Acha watu waongee..nunua gari lako upande mwenyewe
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wakenya wametuacha mbali kwa Exposure, Network na confidence pia. Hatuwawezi!

    Huijui kenya vizuri..vya kwenye Tv visikutishe,kwanza ni wakabila hatari, huyo raila ni mjaluo wa kenya, halafu kingine poverty ni kubwa kwao kuliko Tanzania..kumiliki ardhi kenya ni ndoto Humo makanisani,ibada zinaonhozwa kilugha....ipende nchi yako..ya kwenye tv ni karanga za kuonjeshwa tu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kuoa katika familia ya kichawi?

    Umempa mwenzako ushauri wa kumwangamiza...wachawi ni wabaya na wakatili kuliko majambazi ....wanaua watu baki na ndugu za wa damu..wanaroga,,wanafanyaga mauzinzi wao kwa wao, Kwa kweli ushauri wa wazazi wake ndio wa muhimu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uchumba kwake ilikuwa ni shida, ndoa nayo ni shida

    Sasa ndio umeandikaje..kichwa cha habari kimekaa poa ila maelezo ya ajabu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana

    Labda hawataki bidhaa za Tanzania
Back
Top Bottom