Recent content by binti ashura

  1. B

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    "Ee Mungu wetu turehemu Watanzania ambao tunaangamia kwa kupotelewa na ndugu zetu! tusaidie!. warehemu na marehemu wetu! Yamkini tumetenda mambo ambayo yamesababisha uruhusu mauti kwa ndugu zetu! sisi ni wanadam tunahitaji msaada wako! tusaidie kwani sote tumeumbwa na wewe Mungu wetu! na tuna...
  2. B

    Naomba msaada: tatizo la kuzidi damu mwilini je nifanyeje ili hali yangu irudi kawaida?

    nashukuru kwa ushauri! lakini waliniambia nikitoa damu wakati ninatatizo hilo hiyo siyo njia ya kuondoa tatizo kwani itajitengeneza mpaka kiwango kilekile!
  3. B

    Naomba msaada: tatizo la kuzidi damu mwilini je nifanyeje ili hali yangu irudi kawaida?

    ndugu zangu nimepima kama week tatu hivi na ziada kidogo niliambiwa damu imezidi sasa najiuliza nifanye nini ili hali iweze kutrngamama!
  4. B

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Wengine sasa ndiyo tunalia na kusaga meno na kujuta sana kwa utawala uliopo sasa sijui kilio kijacho kitakuwaje. ila ni bora kwenda kujaribu usikokujua kuliko kwenda kule unakokufahamu kwa ubaya!. ukiambiwa mwanaume huyu anaukimwi na mwingine haijulikani ya kuwa ana ukimwi au hana ukiambiwa...
  5. B

    Ungependa kitu gani kiwemo kwenye katiba mpya?

    ndugu zangu ni muhimu sana wote tushiriki katika uandaaji wa katiba mpya! itakuwa jambo la muhimu sana iwapo kila mwananchi mwenye ufahamu atoe mchango wake wa mawazo ili katiba itakayoundwa isiwe na vilakavilaka. mie ningependekeza hata kama wewe unanafasi fulani serikalini changia mawazo kama...
  6. B

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    wabunge mwaka uliopita walipitisha bajeti ya kupandisha watumishi ngazi na kuajiri wapya lakini miezi michache baada ya bunge la bajeti kumalizika ikiwa na bajeti imeshapitishwa watumishi hawakupandishwa na ajira zikakatwa kwa asilimia kubwa tu. swali langu kinachopitishwa na wabunge siyo cha...
  7. B

    Yawezekana Rais amevunja sheria ya Mchakato wa Katiba kwa kuwaapisha kina Baregu?

    kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!
  8. B

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    hapa inatakiwa ccm wakate rufaa ili lema asivuliwe ubunge kwakuwa kuvuliwa kwake kutaifanya chadema izidi kupaa! kama jimbo laililokuwa linashikiliwa na ccm chadema wamelichukua je jimbo ambalo cdm ilikuwa inalishikilia je?
  9. B

    Kuongezeka kwa muda wa kubadilisha taarifa za wateja wa mabenki

    mie nilijuwa kuwa itakuwa hivyo kutokana na historia ya bongo ni kuwekana kwenye presha halafu inakuwa hivi. walisema usiposajiri simu mwisho tarehe furani walioitaja ilipofika wakaongeza muda na baadae kimyaaaaaaaaaaaa. wakaja na noti mpya ambazo walisema mwisho mwezi wa sita mwakajana kutumia...
  10. B

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Mungu wetu wa Mbinguni tunakuomba umsaidie mtanzania mwexetu EL apone arudi kuendelea na maisha ya kila siku amen!.
  11. B

    Maafa makubwa kutokea serikali ikijaribu kufanya haya kwenye mgomo wa madaktari

    Madaktari hawa hawapendi kufanya kazi sasa ili wasifanye kazi wanasingizia mgomo. na inawezekana wana roho za kichawi za kufurahi watu wanapokufa!. Tumwogope Mungu kwakuwa tumeamliwa kuitii kila mamlaka. mamlaka imewaweka nyie muwe madaktari ili mfanye kazi ya kutibu watu. pia mnao waumiza ndiyo...
  12. B

    Mgomo wa madaktari - Updates

    Neno la Mungu limesema Usiue wala kusababisha kifo sasa wanaogoma kutoa tiba sijui itakuwa mnafuata maamuzi ya nani?
  13. B

    Pendekezo-baraza la mawaziri la chadema 2015

    ukiachana na kuwa wengine hapo umewapendekeza ambao siyo wanachama wa chadema pia kuna baadhi ya watu kwa sasa ni wabunge ila mwaka 2015 hawatakuwa wabunge kwakuwa hata ndani ya chama hawata shinda labda kama watapata uteuzi mala mbili kwanza kuteuliwa kuwa wabunge na pili kuteuliwa kuwa mawazili.
  14. B

    Mtoto wa Magufuli (Jesca) afeli form four

    aise kwani ili waseme kombi imekubali inatakiwa DDC au CCC nimeona yeye kapata matokeo haya S1071/0102 F JESCA JOHN MAGUFULI 30 IV CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
  15. B

    Watawala wa tanzania nadharau zao kwawananchi.wanaowaongoza!? ........(nukuu

    WATAWALA WA TANZANIA NADHARAU ZAO KWAWANANCHI.WANAOWAONGOZA!? ........(NUKUU YA LEO!!)....... Anna Makinda - Tumeongeza posho kwa wabunge kwasababu maisha ya Dodoma yamekua magumu sana..... Basil Mramba Waziri - Ndege ya Rais Lazima Inunuliwe ikiwezekana hata Wananchi...
Back
Top Bottom