Jamani mbona si poa
Member
- Mar 6, 2012
- 48
- 3
ndo tunajadili tatizo hili tupo kikaoni sasa hivi.
CRAAAAAAAAP. Hakuna kitu hapo ulichoandika zaidi yakuandika makala ndefu na ***** mtupu. Wafukuzwe na washitakiwe. Na wakija huku mtaani waje wapambane na sie magwiji wa Street University,wataomba wao wenyewe kurudi
mpumbavu mkubwa waliokutuma waambie wakufundishe kujenga hoja,sisemi madaktari walipwe hivi lakini angalia marekani wanavyojali rahia wenye professional na sio siasaNaona madaktari wa serikali wana overstate uwezo wao.
Watanzania wengi hawatibiwi hospitali za serikali kwa sababu ya rushwa,kukosekana dawa na umbali ziliko hospitali hizo.Wengi siku hizi wanaponea mitishamba,kwa waganga wa kienyeji na kichina,hospitali binafsi kwa mashehe na viongozi wa makanisa.Ndio maana wenye shida siku hizi wamejaa makanisani kusaka maombezi na kwenye dawa za kichina.Sekta ya Afya ya serikali ni kama inakufa na wanaoua ni madaktari.Uliza maskini kabisa anayeenda kutibiwa hospitali ya serikali akapata panadol bure ni wangapi hata kama panadol zimejaa kwenye maghala.
Kaangalie hospitali binafsi wanakoenda kutibu hao madaktari wa hospitali za serikali part time vifaa wanavyoenda navyo na dawa zilizoko huko katika hospitali na maduka ya dawa ya kwao huwa wanazitoa wapi kama hujakuta wanakwapua hospitalini wanakofanyia kazi.Hebu ufanyike ukaguzi kwenye maduka na majumbani mwao kama havitakutwa vitu vya mahospitalini ya serikali.
Kuhusu kulipwa mishahara midogo si hoja kama walikuwa wanataka mishahara mikubwa ziko fani nyingi tu wangechukua hizo.Kusoma ni kujiwekeza (You invest in yourself) Kama ni mtafuta pesa ilikuwa uchuje fani gani uende kuliko kwenda ili mradi halafu baadaye usumbue mwajiri wako.Hakuna aliyewashinikiza kuwa wasomee madaktari.Udaktari unabaki wito mtaka pesa ni vizuri akaondoka akaacha udaktari aende TRA,BOT,TANAPA na huko BUNGENI kuliko kubaki kwenye corridor za Muhimbili na koti jeupe akijifanya daktari wakati hatibu hata nzi.Waondoke mhimbili haraka. Natamani wagonjwa vichaa wa muhimbili wangewatokea na nondo wawakimbize madaktari waliogoma muhimbili.
Serikali isitishiwe nyau. Tofauti ya kuwa na madaktari na kutokuwa nao sasa ni nini? sasa hivi hawatibu watu ni sawa tu na wakiwa hawapo.Saidi MWEMA peleka vijana wako wakawakimbize na virungu ni heri tujue tu muhimbili hamna madaktari kuliko kuwa na wazagaa mawodini wenye makoti meupe wasiotibu.Mtu anayeona udaktari haulipi aambiwe wazi bila kumeza maneno nenda huko kwenye mishahara mikubwa funga virago kwenda zako na usije omba kuajiriwa sekta ya afya tena hata hospitali binafsi huruhusiwi kufanya kazi au kuanzisha sababu una sifa ya kuua wagonjwa kwa migomo.Kwani iko siku madaktari wa namna hii hata wakienda hospitali binafsi za kwao watakuja kugoma kutibu sababu maslahi madogo biashara ya dawa na ada za kutoza wagonjwa hazilipi hivyo kuendeleza vifo vya wagonjwa tu.SERIKALI WAKE UP.
CRAAAAAAAAP. Hakuna kitu hapo ulichoandika zaidi yakuandika makala ndefu na ***** mtupu. Wafukuzwe na washitakiwe. Na wakija huku mtaani waje wapambane na sie magwiji wa Street University,wataomba wao wenyewe kurudi
CHADEMA wanataka kutumia maisha ya watanzania kujitafutia umaarufu wa kisiasa! Hili litawagharimu sana baadaye!
mpumbavu mkubwa waliokutuma waambie wakufundishe kujenga hoja,sisemi madaktari walipwe hivi lakini angalia marekani wanavyojali rahia wenye professional na sio siasa
Top Ten Best Paid Jobs in the USA
1. Surgeons ($206,770)
2. Anesthesiologists ($197,570)
3. Orthodontists ($194,930)
4. Obstetrician and gynecologists ($192,780)
5. Oral and maxillofacial surgeons ($190,420)
6. General Internists ($176,740)
7. Prosthodontists ($168,810)
8. Other Physicians and Surgeons ($165,000)
9. Family and General Practitioners ($161,490)
10. Chief Executives ($160,440)
For info.:
12. Psychiatrists ($154,050)
16. Lawyers ($124,750)
19. Airline Pilot ($119,750)
21. Computer and Information Systems Managers ($118,710)
24. Sales Managers ($110,390)
Top Ten Worst Paid Jobs in the USA
1. Combined food-preparation and service workers, ($17,400)
2. Cooks, fast food ($17,620)
3. Dishwashers ($17,750)
4. Dining room/cafeteria attendants, bartender helpers ($18,140)
5. Shampooers ($18,300)
6. Counter attendants ($18,520)
7. Hosts and Hostesses Restaurants ($18,570)
8. Cashiers ($18,880)
9. Amusement and RecreationAttendants ($18,930)
10. Ushers, Lobby Attendants, Ticket Takers ($19,100)

Kwa taarifa yako mleta mada huko Europe na US wapo madaktari ambao wanaweza kuja kufanya kazi kama volunteers hata bure hapa kwetu kwa kutambua kama nchi yenyewe ni maskini. Ni serikali tu kuomba huo msaada na jamaa wanatua hapa.
haya ndo majibu mepesi ya viongozi wa serikali,wewe ndio mpumbavu kama marekani wanajali wahi huko uende haraka huko kama una soko.usibaki hapa kutusumbua.nenda huko upesi next flight uende.hatujakulazimisha uishi hapa.ndio maana serikali hutoa passport ili watu watimue.
CHADEMA wanataka kutumia maisha ya watanzania kujitafutia umaarufu wa kisiasa! Hili litawagharimu sana baadaye!
Kwa taarifa yako mleta mada huko Europe na US wapo madaktari ambao wanaweza kuja kufanya kazi kama volunteers hata bure hapa kwetu kwa kutambua kama nchi yenyewe ni maskini. Ni serikali tu kuomba huo msaada na jamaa wanatua hapa.[/QUOTE
Na watafanya kwa muda gani? wiki, miezi, mwaka au miaka?? Na kwa sababu ipi nzito? Udhaifu wenu katika uongozi?? Tumia akili kufikiria.
CRAAAAAAAAP. Hakuna kitu hapo ulichoandika zaidi yakuandika makala ndefu na ***** mtupu. Wafukuzwe na washitakiwe. Na wakija huku mtaani waje wapambane na sie magwiji wa Street University,wataomba wao wenyewe kurudi
Tatizo viongozi wetu wapo kwa maslahi yao binafsi, ndiyo maana hawana wanachofikiri chochote cha kuwahusu wananchi. Nawaunga mkono madaktari
Kingadvisor umesema kweli!. Marekani na ulaya, daktari ndio most important professional na ndio top paying job kwa sababu it saves lives!. Kwa wenzetu life ndio kitu cha thamani kuliko kitu chochote na ndio maana nchi za Ulaya hakuna adhabu ya kifo!. Afrika nadhani ni Afrika Kusini na Namibia hakuna adhabu hiyo.Naona madaktari wa serikali wana overstate uwezo wao.
Watanzania wengi hawatibiwi hospitali za serikali kwa sababu ya rushwa,kukosekana dawa na umbali ziliko hospitali hizo.Wengi siku hizi wanaponea mitishamba,kwa waganga wa kienyeji na kichina,hospitali binafsi kwa mashehe na viongozi wa makanisa.Ndio maana wenye shida siku hizi wamejaa makanisani kusaka maombezi na kwenye dawa za kichina.Sekta ya Afya ya serikali ni kama inakufa na wanaoua ni madaktari.Uliza maskini kabisa anayeenda kutibiwa hospitali ya serikali akapata panadol bure ni wangapi hata kama panadol zimejaa kwenye maghala.
Kaangalie hospitali binafsi wanakoenda kutibu hao madaktari wa hospitali za serikali part time vifaa wanavyoenda navyo na dawa zilizoko huko katika hospitali na maduka ya dawa ya kwao huwa wanazitoa wapi kama hujakuta wanakwapua hospitalini wanakofanyia kazi.Hebu ufanyike ukaguzi kwenye maduka na majumbani mwao kama havitakutwa vitu vya mahospitalini ya serikali.
Kuhusu kulipwa mishahara midogo si hoja kama walikuwa wanataka mishahara mikubwa ziko fani nyingi tu wangechukua hizo.Kusoma ni kujiwekeza (You invest in yourself) Kama ni mtafuta pesa ilikuwa uchuje fani gani uende kuliko kwenda ili mradi halafu baadaye usumbue mwajiri wako.Hakuna aliyewashinikiza kuwa wasomee madaktari.Udaktari unabaki wito mtaka pesa ni vizuri akaondoka akaacha udaktari aende TRA,BOT,TANAPA na huko BUNGENI kuliko kubaki kwenye corridor za Muhimbili na koti jeupe akijifanya daktari wakati hatibu hata nzi.Waondoke mhimbili haraka. Natamani wagonjwa vichaa wa muhimbili wangewatokea na nondo wawakimbize madaktari waliogoma muhimbili.
Serikali isitishiwe nyau. Tofauti ya kuwa na madaktari na kutokuwa nao sasa ni nini? sasa hivi hawatibu watu ni sawa tu na wakiwa hawapo.Saidi MWEMA peleka vijana wako wakawakimbize na virungu ni heri tujue tu muhimbili hamna madaktari kuliko kuwa na wazagaa mawodini wenye makoti meupe wasiotibu.Mtu anayeona udaktari haulipi aambiwe wazi bila kumeza maneno nenda huko kwenye mishahara mikubwa funga virago kwenda zako na usije omba kuajiriwa sekta ya afya tena hata hospitali binafsi huruhusiwi kufanya kazi au kuanzisha sababu una sifa ya kuua wagonjwa kwa migomo.Kwani iko siku madaktari wa namna hii hata wakienda hospitali binafsi za kwao watakuja kugoma kutibu sababu maslahi madogo biashara ya dawa na ada za kutoza wagonjwa hazilipi hivyo kuendeleza vifo vya wagonjwa tu.SERIKALI WAKE UP.
CRAAAAAAAAP. Hakuna kitu hapo ulichoandika zaidi yakuandika makala ndefu na ***** mtupu. Wafukuzwe na washitakiwe. Na wakija huku mtaani waje wapambane na sie magwiji wa Street University,wataomba wao wenyewe kurudi
Kuna wakati nikiona tangazo la ajira TANAPA, walikuwa wanahitaji katibu muhtasi.Mshahara ulikuwa laki 9 na ushee plus other benefit.
Wewe ndio mpumbavu kama marekani wanajali wahi huko uende haraka huko kama una soko.Usibaki hapa kutusumbua.Nenda huko upesi next flight uende.Hatujakulazimisha uishi hapa.Ndio maana serikali hutoa passport ili watu watimue.
mwaka huu hauishi nitakuwa nimeondoka namalizia maandalizi ya USMLE and PLAB,Lakini kabla sijaondoka lazima ni hakikishe watanzania wanapata tiba ya uhakika na madaktari wanafurahia kazi yao