Kwakwel hata Mimi naendelea kuexperience hiki kitu kwa siku unajiunga bado GB kadhaa zinaisha wakati sijatumia kitu. Nimepata hasira sana leo kidogo nipigie huduma kwa wateja niwaulize kulikoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli mie pia ni mwoga ila kwa ndugu zangu najikaza.. alhamdulilah waislam hatuagi maiti unless akuhusu mama baba mtoto ..ndugu wa karib...
Pia huwa najiepusha sana na kuaga Au kuangalia maiti ambazo hazinihusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.