Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

Sio kweli.

Kwanza tufahamu kuwa wagonjwa wanaofika Ocean Road ni wagonjwa wenye saratani katika hatua ya mwisho.Watu hawana tabia ya kupima afya zao na hata wakipima afya na kugundulika na saratani basi huwa hawaendi Ocean road kupata tiba kwa kuhofia tiba ya saratani. Wagonjwa wengi huanzia kwa waganga wa kienjeji , katika maoimbi na tiba mbadala kabla ya kuamua kwenda Ocean Road wakati ugonjwa umeshakuwa mkubwa.Hivyo wagonjwa wengi hupewa tiba ya kupunguza tu ukali wa ugonjwa na sio tiba ya kuponyesha kwa sababu wamechelewa kufika hospitali.

Pili madaktari wa zamu wapo masaa 24 mpaka juma mosi na jumapili.

Tatu tiba katika hospoitali ya Ocean road ni bure. Mgonjwa hupewa kitanda , chemotherapy na mionzi bure pamoja na chakula katika muda wote awapo hapo.Kuna changamoto za kutoa tiba bure ila hiyo ndio sera ya serikali kuhusu tiba ya saratani.

Kuna changamoto ya uwepo wa wagonjwa wengi kuliko rasilimali watu na vifaa tiba vilivyopo lakini jitihada zimefanyika kukabiliana na hili.Ila kuna haja ya kuongeza wahudumu wa afya na vifaa tiba vingine ili kukabiliana na ongezeko kubwa la wagonjwa.

Ila changamoto kubwa ni kuwa wagonjwa wengi pale Ocean Road ni wagonjwa wanakuja wakiwa katika hatua za mwisho za ugonjwa wao.Na saratani imekuwa ingeozeka siku hadi siku.Watu wawe na tabia ya kupima afya zao ili iwapo watapata saratani basi igundulike katika hatua za awali.Watu wakatae imani potufu kuhusu tiba ya saratani na wakigundulika na saratani basi waanze tiba mapema. Serikali iajiri manesi na madaktari wa sarani wengi zaidi ili kukabilianana na wingi wa wagonjwa na pia maslahi wa wahudumu afya wa saratani yaboreshwe. Vifaa tiba vya saratani viboreshwe. Sera ya matibabu bure kwa saratani iangaliwe upya ili iwe endelevu na bora zaidi.
Mungu anakuona.. Aidha wewe ni mmoja wao ama ni wale waimba mapambio.... ya eeeh mtukufu kila ufanyalo ni jema... hamumsaidiii... Tumeuguza hapo sisi tena watu wa kanisa hatujaenda kwa mganga wala wapi tangu hatua ya kwanza...
Mkuu gharama ya tiba katika hospitali ile ni bure.Kuanzania kumuona daktari , dawa , mionzi mpaka kula na chakula.Au naongopa?
kwa hiyo kama bure ndio MADAKTARI na manesi watoe huduma za hovyohovyo... Asee we jamaaa sijui mdada una tatizo ..kama sio mhudumu wa hapo au daktari basi utakuwa upo mortuary.. Sio kwa roho hiyo
 
Mkuu gharama ya tiba katika hospitali ile ni bure.Kuanzania kumuona daktari , dawa , mionzi mpaka kula na chakula.Au naongopa?
Hukijui unachokisema pimbi mkubwa sana wewe nimekwambia wewe kaa subiri siku mtu wako wa karibu ama wewe mwenye uingie kwenye 18 za kansa kisha upelekwe ama umpeleke ukisha maliza kupata matibabu ya pale ndo urudi apa kutoa ama kuandika hizi pumba zako unazoendelea kuandika apa.

Tatizo kila jambo mnafikiri ni siasa haya endelea ivyo ivyo ila siku utakapo livaa hili janga ndo utaikumbuka koment yangu hii
 
Acha uongo mkuu,sio kila mgonjwa anayeenda pale yupo ktk stage hizo za huo ugonjwa bhana mbona mm bimkubwa wangu nimempeleka pale akiwa na Cancer ya koo tena ktk stage ya mwanzo tu na akaanza kupewa tiba na akafanyiwa sijui wanaita Nuclear Radiology na sasa hv huwa anahudhuria klinic baada ya kila mwaka.So usipotoshe umma

Kuhusu hizo tuhuma za hao watendaji siwezi kuongelea kwa kuwa sijazishuhudia but km zipo basi wahusika wanatakiwa kujirekebisha tu na sio ww kujifanya mkanushaji kisa unafanya kazi hapo au una ndugu yako ana kitambi anayefanya kazi hapo
Sio kweli.

Kwanza tufahamu kuwa wagonjwa wanaofika Ocean Road ni wagonjwa wenye saratani katika hatua ya mwisho.Watu hawana tabia ya kupima afya zao na hata wakipima afya na kugundulika na saratani basi huwa hawaendi Ocean road kupata tiba kwa kuhofia tiba ya saratani. Wagonjwa wengi huanzia kwa waganga wa kienjeji , katika maoimbi na tiba mbadala kabla ya kuamua kwenda Ocean Road wakati ugonjwa umeshakuwa mkubwa.Hivyo wagonjwa wengi hupewa tiba ya kupunguza tu ukali wa ugonjwa na sio tiba ya kuponyesha kwa sababu wamechelewa kufika hospitali.

Pili madaktari wa zamu wapo masaa 24 mpaka juma mosi na jumapili.

Tatu tiba katika hospoitali ya Ocean road ni bure. Mgonjwa hupewa kitanda , chemotherapy na mionzi bure pamoja na chakula katika muda wote awapo hapo.Kuna changamoto za kutoa tiba bure ila hiyo ndio sera ya serikali kuhusu tiba ya saratani.

Kuna changamoto ya uwepo wa wagonjwa wengi kuliko rasilimali watu na vifaa tiba vilivyopo lakini jitihada zimefanyika kukabiliana na hili.Ila kuna haja ya kuongeza wahudumu wa afya na vifaa tiba vingine ili kukabiliana na ongezeko kubwa la wagonjwa.

Ila changamoto kubwa ni kuwa wagonjwa wengi pale Ocean Road ni wagonjwa wanakuja wakiwa katika hatua za mwisho za ugonjwa wao.Na saratani imekuwa ingeozeka siku hadi siku.Watu wawe na tabia ya kupima afya zao ili iwapo watapata saratani basi igundulike katika hatua za awali.Watu wakatae imani potufu kuhusu tiba ya saratani na wakigundulika na saratani basi waanze tiba mapema. Serikali iajiri manesi na madaktari wa sarani wengi zaidi ili kukabilianana na wingi wa wagonjwa na pia maslahi wa wahudumu afya wa saratani yaboreshwe. Vifaa tiba vya saratani viboreshwe. Sera ya matibabu bure kwa saratani iangaliwe upya ili iwe endelevu na bora zaidi.
 
hospitali nyingi za serikali huduma zake ni mbovu,,baadhi ya manesi na madaktari(hasa wa kike) huwa ni rahisi sana kuzenguana nao sijui wanakuwaga na matatizo gani? sijui hawalipwi mshahara? sijui wanaona kazi wanazofanya ni ngumu sana?,sasa kwann walisomea? au ndo njaa za ukosefu wa ajira? inaonesha hawana wito ...wanaudhi sana ukienda mida ya lunch njaa ikiwashika basi hapo watafokea wagonjwa bila kujali rika wala hali ya mgonjwa ipo serious kias gani...wakiwa ndo bado wamotomoto toka vyuoni wanakuwa na roho nzuri sana ila wakishazoea kuona watu wanakufa,majeraha makubwakubwa na magonjwa ya ajabu bas roho zinakuwa ngumu ile huruma inakwisha na hata commitment ya kaz nayo inakwisha yote,wanaona kazi ngumu..wanasukuma siku mwisho wa mwez ufike..ukienda hospital unakuwa muoga kama mtumwa..hapo daktari wa kike ana njaa anataka akale halaf ndo umeingia wewe..akwambie kitu halaf usisikie vzuri umuulize kwa mara ya pili haha! utakoma nakwambia...kweli kazi wanazofanya ni ngumu lakini si ndo wamezisomea na wanalipwa kwanini wasizingatie maadili ya kazi zao na wafanye kazi wakizingatia kuwa wanafanya kazi ya kuokoa uhai wa bianadamu na sio wadudu wala wanyama?
 
Sio kweli.

Kwanza tufahamu kuwa wagonjwa wanaofika Ocean Road ni wagonjwa wenye saratani katika hatua ya mwisho.Watu hawana tabia ya kupima afya zao na hata wakipima afya na kugundulika na saratani basi huwa hawaendi Ocean road kupata tiba kwa kuhofia tiba ya saratani. Wagonjwa wengi huanzia kwa waganga wa kienjeji , katika maoimbi na tiba mbadala kabla ya kuamua kwenda Ocean Road wakati ugonjwa umeshakuwa mkubwa.Hivyo wagonjwa wengi hupewa tiba ya kupunguza tu ukali wa ugonjwa na sio tiba ya kuponyesha kwa sababu wamechelewa kufika hospitali.

Pili madaktari wa zamu wapo masaa 24 mpaka juma mosi na jumapili.

Tatu tiba katika hospoitali ya Ocean road ni bure. Mgonjwa hupewa kitanda , chemotherapy na mionzi bure pamoja na chakula katika muda wote awapo hapo.Kuna changamoto za kutoa tiba bure ila hiyo ndio sera ya serikali kuhusu tiba ya saratani.

Kuna changamoto ya uwepo wa wagonjwa wengi kuliko rasilimali watu na vifaa tiba vilivyopo lakini jitihada zimefanyika kukabiliana na hili.Ila kuna haja ya kuongeza wahudumu wa afya na vifaa tiba vingine ili kukabiliana na ongezeko kubwa la wagonjwa.

Ila changamoto kubwa ni kuwa wagonjwa wengi pale Ocean Road ni wagonjwa wanakuja wakiwa katika hatua za mwisho za ugonjwa wao.Na saratani imekuwa ingeozeka siku hadi siku.Watu wawe na tabia ya kupima afya zao ili iwapo watapata saratani basi igundulike katika hatua za awali.Watu wakatae imani potufu kuhusu tiba ya saratani na wakigundulika na saratani basi waanze tiba mapema. Serikali iajiri manesi na madaktari wa sarani wengi zaidi ili kukabilianana na wingi wa wagonjwa na pia maslahi wa wahudumu afya wa saratani yaboreshwe. Vifaa tiba vya saratani viboreshwe. Sera ya matibabu bure kwa saratani iangaliwe upya ili iwe endelevu na bora zaidi.
Umetoa maoni ya maboresho hujapinga hoja iliyotolewa kwa ushahidi Mkuu.

Otherwise wewe ni Member wa Ocean Road Hospital.

Hao wote wanaotoa malalamiko sio watoto wadogo kusema waisingizie taasisi kubwa kama hiyo bila sababu.

Ile Hospital ina Matatizo lukuki kwakweli pengine kushinda Muhimbili.

Sababu uliyoitoa haina mashiko Mgonjwa kuwa kwenye hatua ya Mwisho ya ugonjwa wa saratani sio sababu ya kushindwa kumtendea inavyotakiwa.

Wagonjwa huitaji upendo, Kuliwazwa,Kutiwa Moyo,Kufarijiwa,Kusikilizwa na Kusaidiwa Inapohitajika.

Lugha nzuri ndo msingi pekee ambao unaweza kuchochea afya ya mgonjwa.

Nashawishika kusema nawe una roho mbaya tu kama baadhi ya watumishi wa pale Ocean Road.
 
Mkuu gharama ya tiba katika hospitali ile ni bure.Kuanzania kumuona daktari , dawa , mionzi mpaka kula na chakula.Au naongopa?
Mkuu ebu tumia akili kidogo ya kuzaliwa.

Sasa kama gharama za tiba ni bure hiyo ndo ina maanisha wagonjwa watendewe ndivyo sivyo? Wale watumishi pale si wanalipwa mishahara? Kwani ile ni Hospital Binafsi kusema inafanya biashara kwa manufaa binafsi?

Hivi husikiagi kila mwaka kuna bajeti inatengwa kuendesha ile hospital?

Eti huduma zote bure,sawa kama huduma ni bure ndo unashindwa kujali utu wa mtu kweli?

Mkuu uwege unasoma maoni ya watu then ujiweke kwenye nafasi zao upime machungu waliyonayo.

Natamani kukuwasha Ngumi.
 
Wauguzi ambao ni manesii na madaktari wa Ocean Road wanaua wagonjwa kwa makusudi.

Wagonjwa wengi wanaolazwa Ocean Road hata wakiwa hawana hali mbaya wakishalazwa Ocean Road wanazidiwa na kufa badala ya kupata nafuu.

Nimeona wodi moja gorofa ya tatu kila siku unakuta mgonjwa mmoja amekufa hata kama Jana yake alikua na hali nzuri kabisa.

Manesi wa pale hawawahudumii wagonjwa kabisa labda kama ni kuwawekea drip ya maji na damu ndio manesi wanaonekana wodini. Wagonjwa wanakaa na dawa zao wenyewe hata dawa kali ya kupunguza maumivu ya Mufin wagonjwa wanapewa wakae nazo saa ikifika wanywe wenyewe hata wagonjwa waliozidiwa hawaangaliwi kama wamekunywa dawa. Wagonjwa wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe. Mara nyingi wagonjwa wanaanguka chooni na hata kama.anazidiwa anahudumiwa na wagonjwa wenzao manesi hawana habari kabisa.

Kwa mfano ukimuona mgonjwa wako hali sio nzuri ukienda kuwaambia manesi unafokewa kua kwa nini mgonjwa hasemi mwenyewe wakati mgonjwa mwenyewe hata kunyanyuka kitandani hawezi. Pia manesi wanawagombeza sana wagonjwa kua kwanini ndugu zao wanaenda kusema kama mgonjwa anaumwa. Hawawahudumii wagonjwa na pia hawakubaii ndugu kubaki na. mgonjwa na kama mgonjwa wako amezidiwa ukiomba nesi mmoja kua ubaki na mgonjwa wako akakubali ukabaki na mgonjwa akija nesi nwingine anakufukuza hata saa nane za usiku.

Kuna mgonjwa sasa Marehemu alikua amelazwa gorofa ya pili amezidiwa sana mwanae akaomba abaki naye mchana kwani alitundikiwa damu wakamfukuza mchana saa za kuangalia wagonjwa kuingia anakuta damu imemwagika imetapakaa chini inaelekea mgonjwa aligeuka damu ikamwagika. Chakushangaza ni kua manesi wala.daktari hawakupita wakaona hiyo hali mpaka wakati wa kuona wagonjwa ndio ndugu akaenda kuwaambia manesi. Manesi kufika wanaanza kumfokea mgonjwa ambaye hata fahamu hana.

Madaktari ndio kabisa wanapita kuwaona wagonjwa waliolazwa jinsi watakavyojisikia. Wakati mwingine inapita siku hata nine mgonjwa hajaonwa na daktari na hata mgonjwa akizidiwa tayari anaitwa haji kuona mgonjwa. Pia hata mgonjwa akipata na ugonjwa mwingine hapati matibabu sana sana atapelekwa Muhimbili.

Mgonjwa akifariki usiku au mchana wakati sio muda wa ndugu kuona wagonjwa kama wagonjwa wengine wasipoenda kuwaambia manesi, ndugu wakija asubuhi au mchana watakuya maiti hapo kitandani haijashughulikiwa. Au kama mgonjwa atakua anatapatapa katika hali ya kukata roho ndugu wakiwaambia manesi hawaji kumshughulikia mgonjwa kwa kumwekea gesi wala kumhifadhi mgojwa akikata roho. Maori zinakaa wodini kwa mass A menginbila kupelekwa mortuary. Pita hakuna intensive care care hivyo wagonjwa wanashuhudia wenzao waliozidiwa na. kukata roho mbele yao hivyo kuwafanya wagonjwa kukata tamaa.

Pale Ocean Road kila mtu ni mbabe kuanzia walinzi, manesi mpaka madaktari. Sidhani kama Ile hospital ina mkurugenzi kama angekuwepo madaktari na amnesia wangekua na woga hata ya kibinadamu.
.
Umeona wapi hospital ambayo Haitoi huduma usiku wala week-end hata wagojwa wa mionzi hawafanyiwi mionzi siku za weekend wala siku za sikukui. Usiku wala weekend hakuna.daktari wa zamu kama hospitali nyingine.

Raisi wetu kipenzi cha wanyonge mbona hospital hii iko karibu na Ikulu lakini hujaitembelea ukaongea na wagonjwa kusikiliza kero zao..

Serikali inapoteza pesa nyingi kununua mashine, dawa, kuwalipa watumishi na mambo mwingine lakini kwa makusudi manesi na madaktari wanawaua wagonjwa kwa vile wanafikiri wagonjwa wa canicer watakufa, nauliza kama ni hivyo kwa nini serikali inatumia gharama kubwa ili kuokoa maisha ya wagonjwa wa cancer.

Ushauri wangu hospital ya Ocean Road ifanyiwe overall overhaul kabisa kuanzia mkurugenzi, madaktari na. manesi hata walinzi waondolewe ili hospital ianzishwe upya kwani kwa hali ilivyo hairekebishiki hospitali imeoza kabisa.
Tuhuma hizi ni nzito sana!!!
Naamini mamlaka zinazohusika zitafuatilia taarifa hii kujua ukweli wake kabla hali haijazidi hapo!
 
Sio kweli.

Kwanza tufahamu kuwa wagonjwa wanaofika Ocean Road ni wagonjwa wenye saratani katika hatua ya mwisho.Watu hawana tabia ya kupima afya zao na hata wakipima afya na kugundulika na saratani basi huwa hawaendi Ocean road kupata tiba kwa kuhofia tiba ya saratani. Wagonjwa wengi huanzia kwa waganga wa kienjeji , katika maoimbi na tiba mbadala kabla ya kuamua kwenda Ocean Road wakati ugonjwa umeshakuwa mkubwa.Hivyo wagonjwa wengi hupewa tiba ya kupunguza tu ukali wa ugonjwa na sio tiba ya kuponyesha kwa sababu wamechelewa kufika hospitali.

Pili madaktari wa zamu wapo masaa 24 mpaka juma mosi na jumapili.

Tatu tiba katika hospoitali ya Ocean road ni bure. Mgonjwa hupewa kitanda , chemotherapy na mionzi bure pamoja na chakula katika muda wote awapo hapo.Kuna changamoto za kutoa tiba bure ila hiyo ndio sera ya serikali kuhusu tiba ya saratani.

Kuna changamoto ya uwepo wa wagonjwa wengi kuliko rasilimali watu na vifaa tiba vilivyopo lakini jitihada zimefanyika kukabiliana na hili.Ila kuna haja ya kuongeza wahudumu wa afya na vifaa tiba vingine ili kukabiliana na ongezeko kubwa la wagonjwa.

Ila changamoto kubwa ni kuwa wagonjwa wengi pale Ocean Road ni wagonjwa wanakuja wakiwa katika hatua za mwisho za ugonjwa wao.Na saratani imekuwa ingeozeka siku hadi siku.Watu wawe na tabia ya kupima afya zao ili iwapo watapata saratani basi igundulike katika hatua za awali.Watu wakatae imani potufu kuhusu tiba ya saratani na wakigundulika na saratani basi waanze tiba mapema. Serikali iajiri manesi na madaktari wa sarani wengi zaidi ili kukabilianana na wingi wa wagonjwa na pia maslahi wa wahudumu afya wa saratani yaboreshwe. Vifaa tiba vya saratani viboreshwe. Sera ya matibabu bure kwa saratani iangaliwe upya ili iwe endelevu na bora zaidi.

Usisukumie kesi kwa waganga wa kienyeji mkuu, kwanza hospitali zetu tu kugundua kwamba hii ni kansa tayari ishafika stage ya mwisho!!

Sijui ni vipimo hakuna au ni weledi wa madaktari wenyewe lakini inasikitisha na kukera!!

Mgonjwa anaona tatizo toka awali lakini atatibiwa ugonjwa mwingineee!! Nina family friend alikuwa anatibiwa mara typhoid mara vidonda mara sijui vitu gani tena kwenye hospitali kubwa sana, wamekuja kugundua ni kansa ishakuwa katika hatua mbaya.

Wakamrufaa kutoka mkoani na kumpeleka Muhimbili then Muhimbili wakamleta Ocean Roads!! Kafa!

Hapo utasema vipi ni waganga?

Juzi mzee wangu mapafu yamejaa maji, nimempeleka hospitali ya rufaa wanag'ang'ana kumdunga X-pen eti nimonia mpaka nimempeleka hospitali za wahindi huko wanagundua tatizo ni maji kwenye mapafu na matibabu ni simple tuu!!!

Msisingizie waganga, idara za afya aliyewaloga kafaa!! Mnatakiwa mzinduke
 
Hospiitali Ya Ocean Road ni Terminal Ilness centre na sio kwa ajili ya kutibu.Wao wanatamani mfumo Euthanasi ungekuepo ili wawache watu wafe tu maana wanaona kwamba kutibu kansa ya terminal stage ni matatizo tyuuu
Siamini katika hoja yako.
Ingekuwa hivyo, wala isingekuwa hata na legitimacy ya kuwepo kama Hospitali ukizingatia na ukubwa wa gharama za kuiendesha. Wangekuwa wanawaruhusu tu wagonjwa warudishwe majumbani wakasubiri miujiza ya Mungu

Kama kuna chembe ya ukweli katika hoja yako, basi tuseme ni uzembe wa manajimenti ya kituo tu.
 
Back
Top Bottom